Karelia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha: Kizhi_church_1.jpg|thumbnail|right|280px|Sehemu ya mkoa wa Karelia.]]
[[Picha:Map of Russia - Karelia.svg|thumb|right|300px|Mahali pa Karelia katika [[Russia]].]]
[[Picha:Flag of Karelia.svg|left|70px]]
'''Karelia''' ni [[mkoa]] ulioko nchini [[Urusi]].
[[Mji mkuu]] wake ni [[Petrozavodsk]].
Umoja wa Kisovyeti ilipeleka Warusi na Waukraine wengi Karelia, hivyo asilimia ya watu wanaoendelea kusema Kifini imepungua sana.▼
==Historia==
Karelia ilikaliwa na wakazi wanaoongea [[Kifini]]. Kwa muda mrefu maeneo yake yaligombaniwa baina ya [[Urusi]] na [[Uswidi]].
Tangu [[mwaka]] [[1721]] sehemu kubwa ya Karelia ilikuwa sehemu ya [[Milki ya Urusi]], sehemu nyingine ilibaki upande wa Uswidi ikawa baadaye sehemu ya [[ufalme mdogo]] wa [[Ufini]] ndani ya milki ya Urusi.
Baada ya [[uhuru]] wa Ufini mnamo [[1918]], Wakarelia walijikuta katika nchi mbili tofauti. Baada ya [[Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland]], sehemu kubwa ya Karelia ya Ufini ilihamishwa upande wa Urusi.
▲[[Umoja wa Kisovyeti]] ilipeleka [[Warusi]] na
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya mikoa ya Urusi]]
{{mbegu-jio-Urusi}}
{{Maeneo ya Shirikisho la Urusi}}
|