Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Finn_ski_troops.jpg|thumb| Vikosi vya skii vya Kifini]]'''Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland''' ilipigwailipiganiwa kuanzia  [[Novemba]] [[1939]] hasi [[Machi]] [[1940]]. Ilhali ilipiganiwa katika miezi ya [[baridi]] inaitwa pia "Vita ya msimu wa baridi" (kwa [[Kifini]]: ''talvisota'', kwa [[Kiswidi]] ''vinterkriget'', kwa [[Kirusi]] Зимняя война ''zimnyaya voina''). )
[[Picha:Finn_ski_troops.jpg|thumb| Vikosi vya skii vya Kifini.]]
'''Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland''' ilipigwa kuanzia [[Novemba]] [[1939]] hasi [[Machi]] [[1940]]. Ilhali ilipiganiwa katika miezi ya [[baridi]] inaitwa pia "Vita ya msimu wa baridi" (kwa [[Kifini]]: ''talvisota'', kwa [[Kiswidi]] ''vinterkriget'', kwa [[Kirusi]] Зимняя война ''zimnyaya voina'').
 
Chanzo chake kilikuwa madai ya [[serikali]] ya [[Umoja wa Kisovyeti]] kukabidhiwa maeneo ya [[Ufini]] yaliyokuwa karibu na [[mji]] wa [[Leningrad]] (leo Sankt Peterburg). Baada ya Ufini kukataa, [[Jeshi Jekundu]] lilishambulia nchi jirani [[kwenye tarehe]] [[30 Novemba]] 1940.
 
[[Uongozi]] wa Kisovyeti ulitarajia [[ushindi]] wa haraka katika [[wiki]] chache, kwa sababu Jeshi Jekundu lilikuwa na [[Kifaru (jeshi)|vifaru]], [[mizinga]] na [[Ndege (uanahewa)|ndege]] nyingi zaidi kuliko [[jeshi]] la Kifini.
[[Picha:Raate road.jpg|thumb|Vifaru, malori na maiti ya kisovyeti mwaka 1940.]]
Walakini, vikosi vya Kifini vilijitetea kwa nguvu na kwa muda mrefu kuliko ilivyotarajiwa. Sababu moja ya vikosi vya Kifini kufanya vizuri zaidi ni kwambakwa sababu walikuwa na [[nguo]] nzuri za [[msimu wa baridi]] na walivaa [[kanzu]] [[nyeupe]] ambazo zilikuwa [[kamafleji]] bora katika [[theluji]]. VilevileVile vile, [[wanajeshi]] Wafini walizunguka wakitumia [[skii]] zilizowapa mwendo wa haraka kulingana na Warusi waliotembea kwa [[miguu]]. Vilevile wanajeshi Warusi walikosa nguo za msimu baridi na [[sare]] za kuvaa [[rangi]] ya [[kijani]] ambazo ziliwafanya rahisi kuonekana katika theluji. Kwa jumla matatizo upande wa Kisovyeti yalionyesha uhaba wa viongozi wenye maarifa, kwa sababu [[serikali]] ya [[Stalin]] iliwahi kuendesha takaso ya kisiasa kati ya [[Jenerali|majenerali]] ambaoambako wengi walitupwa katika kambi za jela au kuuawa.
 
Hata hivyo, katika mwezi wa Februari 1940, Jeshi Jekundu lilishambulia upya na kuvunja utetezi wa Wafini. Wafini waliomba [[amani]]. Stalin alikubali bila kufikia shabaha zake zote kwa sababu alihofia kuingilia kati kwa [[Uingereza]]; pia viongozi wa Kijeshi waliogopa mwisho wa [[baridi]] na kutokea kwa [[matope]] wakati ardhi iliyoganda inayeyuka, hali ambayo ingesimamisha vifaru na magari.
 
Tarehe [[13 Machi]] 1940 pande zote mbili zilitia [[sahihi]] [[mkataba]] wa amani; Ufini ulipaswa kukabidhi [[asilimia]] 11 za eneo lake kwa UmojaUmoaj wa Kisovyeti, hasa maeneo ya [[Karelia]].<ref name="Tillo1993_160">[[#Tillotson1993|Tillotson (1993)]], p. 160</ref>
[[Picha:Finnish areas ceded in 1940.png|thumb|Nyekundu: Maeneo yaliyohamishwa kutoka Ufini kwenda Umoja wa Kisovyeti baada ya vita]]
 
Line 17 ⟶ 16:
 
== Tanbihi ==
{{Reflist|group=F}}
 
== MarejeoViungo vya nje ==
{{commonscat-inline|Winter War}}</img>
{{Reflist|refs=<ref name="Tillo1993_160">[[#Tillotson1993|Tillotson (1993)]], p. 160</ref>}}
 
== Tovuti zingine ==
{{commonscat-inline|Winter War}}</img>
{{mbegu-historia}}
[[Jamii:Vita Vikuu vya Pili]]
[[Jamii:Historia ya Ufini]]
[[Jamii:Historia ya Urusi]]