Mango : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
Kama mango inabadilika kuwa kiowevu tunasema inayeyuka. Kama inabadilika kuwa gesi au [[mvuke]] moja kwa moja tunaliita badiliko hili [[mvukemango]].
 
Maana ya kiasili ya "mango" ni jiwe gumu nyeusi iliyotumiwa kutwanga kumetesha au kukatua kitu. <ref>linganisha Madan, Swahili-English dictionary, Oxford 1903. uk. 207 "Mango, n. a hard, black, rounded stone used for pounding, smoothing, and polishing."</ref>
 
== Atomi katika hali maada mbalimbali ==