Mango : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mango''' (wakati mwingine pia: '''yabisi'''<ref>"Mango" ni matumizi jinsi yalivyopendekezwa zaidi katika [[kamusi]] za [[TUKI]]; pia vitabu vipya vya [[shule]] za [[sekondari]] [[Tanzania]] zinavyoandaliwa kwa [[Kiswahili]], kama vile "Jifunze Fizikia", iliyotolewa na [[Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili]], 2015. "Yabisi" inataja zaidi hali ya ugumu kutokana na kukauka. Linganisha Madan, Swahili-English dictionary, Oxford 1903. uk. 433: "Yabisi, a. and Yabis, dry, hard, solid, e. g. udongoyabisij'ho.rdiudongo yabisi, hard, parched earth. Baridi yabis, rheumatism.Sometimes also as v., be hard, dry, with Nt. yabisika, in same sense, and Cs. yabisi-sha, shwa, make hard, (Ar. Cf. syn. -gtimti, -shupafu.)"</ref>) ni moja kati ya [[hali maada]]. Maana yake ni imara, tofauti na [[kiowevu]] (majimaji) au [[gesi]] (kama [[hewa]]).
 
Katika hali mango [[atomu]] zinakaa mahali pamoja katika gimba hazichezi wala kutembea ndani yake. Kila atomu ina mahali pake. Gimba mango lina umbo, mjao na uzani maalumu. Umbo mango lina urefu, upana na kimo chake, tofauti na kiowevu kinachobadilisha umbo kufuatana na chombo chake au gesi isiyo na umbo wala mjao maalumu.