Kitambaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ill
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 2:
'''Kitambaa''' (pia '''kitambara''') ni kipande cha tambaa au [[jora]] ambalo kimekatwa ili kushonea [[vazi]] la [[binadamu]], kama vile [[shati]], [[sketi]] au [[suruali]], au kwa madhumuni mengine, kama vile kutandika [[meza]], [[Sofa|kochi]] au [[samani]] nyingine, kushonea [[pazia]], kurembesha, kupenga, kuosha, kupangusa [[Kitu|vitu]] zilizomwagikiwa [[kiowevu]] na pia vitu vikavu kama vile [[Dirisha|madirisha]] ya [[glasi]] n.k.
 
Siku hizi vitambaa vinatengenezwa kwa kawaida katika [[viwanda]]. Mara nyingi hutengenezwa kwa kuunganisha [[nyuzi]] pamoja, ziwe za [[asili]] au vitu vilivyotengenezwa na [[mwanadamu]]. Mifano ya nyuzi za asili ni [[pamba]] na [[hariri]]. Mifano ya nyuzi zilizotengenezwa na binadamu ni [[nailoni]] na [[akriliki]]<ref>{{Cite web|url=http://www.ilearnfashion.com/clothing/different-types-fabrics-clothing-material-textile-sources-usages/|title=Different Types of Fabrics Clothing Material Textile – Sources and Usages|author=iLearnFashion|date=2018-01-25|language=en|work=Learn All About Fashion Outfits Beauty and Lifestyle|accessdate=2018-12-20|archivedate=2018-12-14|archiveurl=https://web.archive.org/web/20181214075011/http://www.ilearnfashion.com/clothing/different-types-fabrics-clothing-material-textile-sources-usages/}}</ref>.
 
[[Rangi]] ya kitambaa inazingatiwa sana katika matumizi, kulingana na [[utamaduni]], hali n.k.