Mango : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Mango''' (wakati mwingine pia: '''yabisi'''<ref>"Mango" ni matumizi jinsi yalivyopendekezwa zaidi katika [[kamusi]] za [[TUKI]]; pia vitabu vipya vya [[shule]] za [[sekondari]] [[Tanzania]] zinavyoandaliwa kwa [[Kiswahili]], kama vile "Jifunze Fizikia", iliyotolewa na [[Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili]], 2015. "Yabisi" inataja zaidi hali ya ugumu kutokana na kukauka. Linganisha Madan, Swahili-English dictionary, Oxford 1903. uk. 433: "Yabisi, a. and Yabis, dry, hard, solid, e. g. udongo yabisi, hard, parched earth. Baridi yabis, rheumatism.Sometimes also as v., be hard, dry, with Nt. yabisika, in same sense, and Cs. yabisi-sha, shwa, make hard, (Ar. Cf. syn. -gtimti, -shupafu.)"</ref>) ni moja kati ya [[hali maada]]. Maana yake ni imara, tofauti na [[kiowevu]] (majimaji) au [[gesi]] (kama [[hewa]]).
 
Katika hali mango [[atomu]] zinakaa mahali pamoja katika gimba, hazichezi wala kutembeakusogea ndani yake. Kila atomu ina mahali pake. Gimba mango lina umbo, [[mjao]] na [[uzani]] maalumu. Umbo mango lina [[urefu]], [[upana]] na [[kimo]] chake, tofauti na kiowevu kinachobadilishakinachobadilika umbo kufuatana na chombo chake au gesi isiyo na umbo wala mjao maalumu.
 
Kama mango inabadilika kuwa kiowevu tunasema inayeyuka. Kama inabadilika kuwa gesi au [[mvuke]] moja kwa moja tunaliita badiliko hili [[mvukemango]].
 
Maana ya kiasili[[asili]] ya "mango" ni [[jiwe]] gumu nyeusijeusi iliyotumiwalililotumika kutwanga kumetesha au kukatua kitu. <ref>linganisha Madan, Swahili-English dictionary, Oxford 1903. uk. 207 "Mango, n. a hard, black, rounded stone used for pounding, smoothing, and polishing."</ref>
 
== Atomi katika hali maada mbalimbali ==
Mstari 22:
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-fizikia}}
[[Jamii:sayansi]]
 
[[Jamii:Fizikia]]