Darfur Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
[[Picha:Gharb Darfur Sudan map with districts.svg|right|thumb|260px|Ramani ya Magharibi Darfur]]
'''Darfur Magharibi''' (Gharb Darfor) ni mojawapo ya [[majimbo]] 26 yanayojumuisha [[Sudan]], na moja ya tatu yanayojumuisha kanda ya [[Darfur]]. Ina eneo la [[Km²|km²]] 79,460 na [[idadi]] ya wakazi wake inakadiriwa kuwa 1,007,000 ([[2006]]).
 
Inapakana na [[Darfur Kaskazini]] na [[Darfur Kusini]] upande wa [[mashariki]].
 
Maeneo ya [[Chad]], [[Biltine]] na [[Ouaddaï]] yako upande wa [[magharibi]], na upande wa [[kaskazini]] kuna mkoa wa [[Bourkou-Ennedi-Tibesti]].
 
[[Al-Junaynah]] ndio [[mji mkuu]] wa jimbo hili.
 
Darfur Magharibi imekuwa eneo kuu la [[mgogoro wa Darfur]] unaoendelea.
 
{{Majimbo ya Sudan}}
{{mbegu-jio-Sudan}}