Davinson Sanchez : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Dávinson Sánchez Mina''' (alizaliwa 12 Juni 1996) ni mchezaji wa soka wa Colombia ambaye anacheza katika klabu ya klabu ya ligi ku...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Dávinson Sánchez Mina''' (alizaliwa [[12 Juni]] [[1996]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Colombia]] ambaye anacheza katika [[klabu]] ya klabu ya [[ligi kuu]] ya [[Uingereza]] iitwayo [[Tottenham Hotspur]] na [[timu ya taifa]] ya [[Colombia]].
 
==Tottenham Hotspur==
Mnamo tarehe 18 Agosti 2017, klabu ya Ligi Kuu ya Tottenham Hotspur ilitangaza kwamba walikubaliana na '''Davinson Sánchez''' kusaini mkataba wa miaka sita chini ya kibali cha kazi, kwa ada ya uhamisho iliyofikia £ milioni 42.
 
Mnamo tarehe 15 Mei 2018, Sánchez alisaini mkataba mpya na Tottenham, akiweka mkataba hadi mwaka 2024.
 
{{mbegu-cheza-mpira}}
 
 
[[Jamii:watu walio hai]]
[[Jamii:waliozaliwa 1996]]
[[Jamii:wachezaji mpira wa ColombiaKolombia]]