Ilias : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 2 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
 
Mstari 10:
Katika [[historia]] ndefu ya miaka 10 ya vita ya Troia Ilias inasimulia [[wiki]] za mwisho tu. Inaanza na [[hasira]] ya mungu [[Apollon]] kwa sababu ya tendo la [[Achilles]] kumteka [[binti]] wa [[kuhani]] wa mungu huyu na [[fitina]] kati ya [[shujaa]] Achilles na [[mfalme]] [[Agamemnon]] inayofuata. Kutokana na fitina hii Achilles anagoma kushiriki tena katika vita na sasa Wagiriki hawawezi kushindana tena na Watroya. Wakati Wagiriki wanaelekea kushindwa Achilles anarudi vitani baada ya kuuawa kwa [[rafiki]] yake [[Patroklos]] kwa [[mkono]] wa shujaa Mtroia [[Hektor]]. Anamwua Hektor na kuacha [[maiti]] yake kwa siku 12 kwenye [[mchanga]]. Mwishoni anatulia na kumruhusu [[baba]] yake Hektor kumzika [[Mwana|mwanawe]].
 
Majina muhimu katika Ilias ni pamoja na [[Achilles]], [[Odiseo]], [[Agamemnon]], [[Menelao]], [[Priamo]], [[Hektor]], [[Paris (mitholojia)|Paris]] na [[Helena wa Trois|Helena]].
 
Pamoja na utenzi mwingine wa Homer unaoitwa ''[[Odisei]]'', Ilias ni [[chanzo]] cha [[fasihi]] ya Ugiriki ya Kale.