Usanisinuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Roger Inonga (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na ChriKo
Tag: Rollback
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Leaf 1 web.jpg|thumb|200px|Kila jani kina kiwanda cha kikemia ndani yake.]]
'''Usanisinuru''' (pia '''usanidimwanga''', ing. ''photosynthesis'') ni mchakato wa kibiolojia na kikemia ambako [[mimea]] ya [[kijani]] inageuza [[nguvu]] ya [[nuru]] ya [[jua]] kuwa [[nishati]] ya kikemia. Inatengeneza [[kabohidrati]] ikitumia nguvu ya nuru ya jua na [[dioksidi kabonia]] ya [[Hewa|hewani]] pamoja na [[maji]].
 
Nje ya mimea kuna pia aina kadhaa za [[bakteria]] na hasa [[mwani]] zinazofanya usanisinuru.