Radi (elementi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
png -> svg
No edit summary
 
Mstari 1:
<sup>Kwa mwangazangurumo mkaliya unaoonekana wakati wa ngurumoumeme tazama [[radi]]</sup>
{{elementi
| rangi =#a0ffa0
Mstari 19:
}}
 
[[Picha:Saa yenye radi ya kung'aa.jpg|thumb|300px|left|Saa hii yaonekanayasomeka gizani kwa sababu ya nukta kwenye namba na kwenye mikono yake hung'aa gizani kutokana na radi kwenye rangi ya kijani na nukta hizi.]]
'''Radi''' (kutoka [[kilatiniKilatini]] "radius") ni [[elementi]] katika [[mfumo radidia]] yenye alama '''Ra'''. [[Namba atomiaalama]] ni '''88Ra''' na [[uzani atomia]] ni 226.0254. Jina limechaguliwa kutokana na tabia yake ya [[ununurifu]], kilatini "radius" yamaanisha "mwale" au "mwonzi". Kikemia radi ni [[metali ya udongo alikalini]] yenye rangi nyeupe. Lakini inaoksidisha haraka kushika rangi nyeusi.
 
[[Namba atomia]] ni '''88''' na [[uzani atomia]] ni 226.0254.
Radi ni haba sana hutokea kama sehemu ya mchanganyiko wa madini kadhaa pamoja na [[urani]]. Hutokea hasa kama [[isotopi]] ya 226Ra yenye [[nusumaisha]] ya miaka 1,602 ikibadilika kuwa gesi ya [[radoni]].
 
[[Jina]] limechaguliwa kutokana na [[tabia]] yake ya [[ununurifu]]: kwa Kilatini "radius" yamaanisha "mwale" au "mwonzi".
== Historia ya radi ==
Radi ilitambuliwa mara ya kwanza [[1898]] na mwanakemia Mpoland [[Marie Curie]] na mume wake Mfaransa Pierre. Baadaye ilitumiwa kwa ajili ya saa ziliyotakiwa kuonekana usiku kwa sababu radi inang'aa gizani kutokana unururifu wake. Ilitumiwa pia kama dawa hadi ilipoonekana mnamo 1930 ya kwamba inasababisha magonjwa ya [[kansa]].
 
[[Kemia|Kikemia]] radi ni [[metali ya udongo alikalini]] yenye [[rangi]] [[nyeupe]]. Lakini inaoksidisha haraka kushika rangi [[nyeusi]].
== Viungo vya Nje ==
{{mbegu-kemia}}
{{mbegu-fizikia}}
 
Radi ni haba sana hutokea kama sehemu ya mchanganyiko wa [[madini]] kadhaa pamoja na [[urani]]. Hutokea hasa kama [[isotopi]] ya 226Ra yenye [[nusumaisha]] ya miaka 1,602 ikibadilika kuwa [[gesi]] ya [[radoni]].
 
== Historia ya radi ==
Radi ilitambuliwa mara ya kwanza [[mwaka]] [[1898]] na [[mwanakemia]] Mpoland[[Mpolandi]] [[Marie Curie]] na [[mume]] wake [[Mfaransa]] [[Pierre Curie|Pierre]]. Baadaye ilitumiwa kwa ajili ya [[Saa (ala)|saa]] ziliyotakiwazilizotakiwa kuonekana [[usiku]] kwa sababu radi inang'aa [[Giza|gizani]] kutokana na [[unururifu]] wake. Ilitumiwa pia kama [[dawa]] hadi ilipoonekana mnamo [[1930]] ya kwamba inasababisha [[magonjwa]] ya [[kansa]].
{{mbegu-kemia}}
[[Jamii:Elementi]]
[[Jamii:Metali za udongo alikalini]]