Molibdeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
Mstari 19:
}}
 
'''Molibdeni''' (kutokakutokaa [[kigiriki]] ''molybdos'' [[metali ya risasi]]) ni [[elementi]] na [[metali ya mpito]] yenye [[namba atomia]] 42 katika [[mfumo radidia]]. [[Uzani atomia]] ni 95.94. [[Rangi]] ya metali tupu ni [[nyeupe]]-[[Fedha|kifedha]].
Ni [[metali]] imara na ngumu na [[kiwango cha kuyeyuka]] ni juu sana. Kwa sababu hiyo hutumiwa katika [[aloi]] za [[feleji]] inayotakiwa kuwa na nguvu sana.