Kiungo (chakula) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Spices1.jpg|thumb|[[Duka]] la viungo palehuko [[Moroko]].]]
'''Kiungo cha chakula''' ni kiolezi kinachotia [[ladha]] au [[harufu]] maalumu katika [[chakula]]. Mifano yake ni [[Chumvi (kemia)|chumvi]], [[kitunguu]], [[iliki]], [[karafuu]] au [[pilipili]].
 
Viungo vingi ni mbegu, matunda, majani au mizizi ya [[mimea]] mbalimbali ambako ladha inayotafutwa inapatikana.
 
Viungo vingi kwa [[asili]] ni [[mbegu]], [[matunda]], [[majani]] au [[mizizi]] ya [[mimea]] mbalimbali ambakoambamo ladha inayotafutwa inapatikana.
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Chakula]]