Iliki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Cardamon hadi Iliki
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Elettaria cardamomum - Köhler–s Medizinal-Pflanzen-057.jpg|thumb|Elettaria cardamon]]
'''Iliki''' (ing. '''Cardamon''') ni [[kiungo (chakula)|kiungo cha chakula]] kinachotokana na mbegu za mimea ya [[jenasi]] Elettaria na Amomum katika [[Familia (biolojia)|familia]] ya Zingiberaceae. Mbegu za eletteria ni nyeupe-kibichikijani, na zile za amomum ni kubwa na nyesuinyeusi-kahawia.
[[Picha:Black and green cardamom.jpg|thumb|Mbegu za iliki kijani, nyeusi]]
 
Asili ya mimea inapatikana pala [[Uhindi|Uhindini]] na [[Indonesia]] lakanilakini tagutangu mwanzo wa karne ya 20 imelimwa nchini [[Guatemala]] ambayo kwa sasa ni nchi inayouza iliki nyingi duniani.
 
 
 
[[jamii:Chakula]]