Erich Honecker : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Erich Honecker"
 
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1:
{{Infobox officeholder|name='''Erich Honecker'''|image=Bundesarchiv Bild 183-R0518-182, Erich Honecker.jpg|nationality=[[Germany|German]]|order=[[GeneralKatibu SecretaryMkuu ofwa theChama Socialistcha UnityMaungano Partycha ofKisoshalisti Germany]]cha Ujerumani|predecessor=[[Walter Ulbricht]]|successor=[[Egon Krenz]]|birth_date={{birth date|1912|8|25|df=y}}|birth_place=[[Neunkirchen, Saarland|Neunkirchen]], [[Germany]]|death_date={{death date and age|1994|5|29|1912|8|25|df=y}}|death_place=[[Santiago de Chile|Santiago]], [[Chile]]|spouse=Edith Baumann<br />[[Margot Honecker|Margot Feist]] (1953-1994)|party=[[Socialist Unity Party of Germany]]|profession=[[Politician]]|order2=[[LeadersMwenyekiti ofwa EastBaraza Germany|Chairmanla ofDola the Council of State of the German Democratic Republic]]|predecessor2=[[Willi Stoph]]|successor2=[[Egon Krenz]]}}

'''Erich Honecker''' (25 Agosti 1912 - 29 Mei 1994) alikuwa mwanasiasa wa [[Ukomunisti|Kikomunisti wa]] [[Ujerumani|Ujerumani Mashariki]] ambaye aliongoza [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]] kutoka 1971 hadi 1989.
 
Baada ya maungano ya Ujerumani ya 1990, alihamia [[Umoja wa Kisovyeti]] lakini alirudishwa Ujerumani na serikali mpya ya Urusi, ambapo alifungwa na kuhukumiwa kwa [[uhaini]] na uhalifu uliotekelezwa wakati wa [[vita baridi]] . Walakini, wakati alikuwa mgonjwa wa [[Kansa ya ini|saratani]] ya [[Kansa ya ini|ini]], aliachiliwa kutoka gerezani. Alihama uhamishoni nchini [[Chile]] alipofariki mwaka 1994.
Line 16 ⟶ 18:
Baada ya kurudi Berlin, alikuwa mjumbe kamili wa kamatu kuu akawajibika katika mambo ya usalama na kijeshi. Akiwa Katibu wa Usalama wa SED alisimamia ujenzi wa [[Ukuta wa Berlin]] kwenye mwaka 1961.
 
== UongoziKiongozi wa Ujerumani Mashariki ==
Mnamo 1971, HoncekerHonecker alianza mapambano ya nguvu ya kisiasa dhidi ya mkuuwa Chama cha kikomunisti [[Walter Ulbricht]]. Kwa msaada wa serikali ya [[Umoja wa Kisovyeti|Kisovyeti]] alimlazimisha Ulbricht kujiuzulu akawa kiongozi mpya, au ''Katibu Mkuu'', wa Chama cha SED. Tangu 1976 alikuwa pia Mwenyekiti wa Baraza la Dola na hivyo mkuu wa dola.
 
Honecker alijitahidi kuboresha maisha ya wananchi wake na Ujerumani ya Mashariki ilipata hali ya juu ya maisha katika nchi zote za Umoja wa nchi za kikomunisti. Hata hivyo, uwezo wa uchumi wa kisoshalisti uliendelea kubaki nyuma ya maendeleo katika magharibi ya Ujerumani kwenye [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]]. Honecker alikazia utawala wa kisiasa katika himaya yake, alikandamiza upinzani wowote na kuimarisha mpaka ndani ya Ujeruamni ambako mamia waliuawa walipojaribu kutoroka kutoka mashariki kwenda magharibi. Kwa msaada wa mikopo kutoka magharibi Honecker aliweza kudumisha serikali yake. 1987 Honecker alitembelea Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kama mgeni rasmi wa chanselaa Kohl.
 
Mwishoni mwa miaka ya 1980 kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti, [[Mikhail Gorbachov]] alibadilisha siasa ya ukomunisti kwa mitindo ya glasnost na perestroika, kama mageuzi ya kukomboa ukomunisti. Honecker, hata hivyo, alikataa kutekeleza mageuzi kama hayo katika GDR. Wakati harakati ya mageuzi ikienea kote Ulaya ya Kati na Mashariki kulikuwa na maandamano dhidi ya serikali ya Ujerumani Mashariki. Kubwa zaidi yalikuwa maandamano ya Jumatatu mnamo 1989 katika jiji la Leipzig . Viongozi wengine wa DDR waliamua kumwondoa Honecker, na kumlazimisha ajiuzulu mnamo 18 Oktoba 1989. [[Egon Krenz]] alichukua nafasi yake.
 
Baada ya kupinduliwa, Honecker alibaki bila nyumba wala makazi. Kwa muda wa miezi miwili alipata kimbilio katika nyumba ya mchungaji mmoja wa Kilutheri, baadaye alipelekwa katika hospitali ya kijeshi ya Kirusi pale Berlin. Madaktari walitambua kansa ya ini kwake. Kutoka hodspitali alipelekwa Moscow pamoja na mkewe, ili kuepuka mashtaka juu ya uhalifu wa Vita Baridi, hasa maagizo yake ya kzuia watu walioelekea magharibi hata kwa kutumia silaha. Baada ya Umoja wa Kisovyeti kuvunjika ma ,wisho wa ukomunisti pale, mnamo Desemba 1991, Honecker alikwenda kwa ubalozi wa Chile huko Moscow, lakini alirudishwa na serikali ya Boris Yeltsin mnamo 1992.
 
Honecher alikamatwa na kushtakiwa; lakini aliachiliwa kwa sababu ya afya mbaya na mnamo 13 Januari mwaka huo alihamia Chile kuishi na binti yake Sonja aliyeolewa na Mchile.
 
Alikufa na saratani ya ini huko Santiago, Chile mnamo 29 Mei 1994.
== Uongozi wa Ujerumani Mashariki ==
Mnamo 1971, Honceker alianza mapambano ya nguvu ya kisiasa dhidi ya mkuuwa Chama cha kikomunisti Walter Ulbricht. Kwa msaada wa serikali ya [[Umoja wa Kisovyeti|Kisovyeti]] alimlazimisha Ulbricht kujiuzulu akawa kiongozi mpya, au ''Katibu Mkuu'', wa Chama cha SED. Tangu 1976 alikuwa pia Mwenyekiti wa Baraza la Dola na hivyo mkuu wa dola.
 
Honecker alijitahidi kuboresha maisha ya wananchi wake na Ujerumani ya MAshariki ilipata hali ya juu ya maisha katika nchi zote za Umoja wa nchi za kikomunisti.
 
<ref>{{Cite web|url=http://www.calvin.edu/academic/cas/gpa/erich1.htm|title=Erich Honecker Speech on Peace (1984)|first=Erich|author=Honeker|work=calvin.edu|year=1984|accessdate=17 December 2011}}</ref>