Erich Honecker : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox officeholder|name='''Erich Honecker'''|image=Bundesarchiv Bild 183-R0518-182, Erich Honecker.jpg|nationality=[[Germany|German]]|order=Katibu Mkuu wa Chama cha Maungano cha Kisoshalisti cha Ujerumani|predecessor=[[Walter Ulbricht]]|successor=[[Egon Krenz]]|birth_date={{birth date|1912|8|25|df=y}}|birth_place=[[Neunkirchen, Saarland|Neunkirchen]], [[Germany]]|death_date={{death date and age|1994|5|29|1912|8|25|df=y}}|death_place=[[Santiago de Chile|Santiago]], [[Chile]]|spouse=Edith Baumann<br />[[Margot Honecker|Margot Feist]] (1953-1994)|party=[[Chama cha Muungano Kisoshalisti Ujerumani]]|profession=Mwanasiasa|order2=Mwenyekiti wa Baraza la Dola |predecessor2=[[Willi Stoph]]|successor2=[[Egon Krenz]]}}
 
'''Erich Honecker''' ([[25 Agosti]] [[1912]] - [[29 Mei]] [[1994]]) alikuwa [[mwanasiasa]] wa [[Ukomunisti|Kikomunisti wa]] [[Ujerumani|Ujerumani Mashariki]] ambaye aliongoza [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]] kutoka [[mwaka]] [[1971]] hadi [[1989]].
 
Baada ya maungano ya Ujerumani ya 1990, alihamia [[Umoja wa Kisovyeti]] lakini alirudishwa Ujerumani na [[serikali]] mpya ya Urusi, ambapo alifungwa na kuhukumiwa kwa [[uhaini]] na uhalifu uliotekelezwa wakati wa [[vita baridi]] . Walakini, wakati alikuwa [[mgonjwa]] wa [[Kansa ya ini|saratani]] ya [[Kansa ya ini|ini]], aliachiliwa kutoka [[Gereza|gerezani]]. AlihamaAlikwenda uhamishoni nchini [[Chile]] alipofariki mwaka 1994.
 
== Asili na vyanzo vya kazi ya kisiasa ==
Honecker alizaliwa huko [[Neunkirchen (Saar)|Neunkirchen]], leo kwenye [[Majimbo ya Ujerumani|jimbo]] la [[Saar|Saarland]], Ujerumani. Alikuwa na kaka wawili na dada watatu.
 
Alijiunga mnamo 1926 na Umoja wa Vijana wa Kikomunisti wa Ujerumani (KJVD) uliokuwa tawi la Chama cha Kikomunisti cha Ujerumani (KPD), na kuwa mwanachama kamili mwaka 1929. Kati ya 1928 na 1930 alifanya kazi kama fundi wa kuezeka paa. Baadaye alipelekwa [[Moscow]] kusoma katika Shule ya Kimataifa ya Lenin na kwa maisha yake yote aliendelea kama mwanasiasa wa kikazi.
 
Alirudi Ujerumani mnamo 1931. Baada ya [[NSDAP|Chama cha NSDAP]] cha [[Adolf Hitler|Hitler]] kuchukua serikali, Wakomunisti walipigwa marufuku katiia Ujerumani, lakini eneo la Saar likikuwa na hali ya pekee kwa miaka miwili. Hadi 1935 Honecker alipinga jitihada za kuunganisha Saar na Ujerumani; hatimaye alikamatwa mnamo 1935 baada ya [[NSDAP|Wanazi]] kuingia madarakani pia Saar. Mnamo 1937, alihukumiwa miaka kumi kwa kazi yake ya kisiasa alikaa kifungoni hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] . Baada ya gereza la Honecker kuvamiwa na kifaru cha Kirusi, alipata uhuru wake. Alibaki katika sehemu ya Ujerumani iliyokuwa chini ya mamlaka ya [[Jeshi Jekundu]] akajiunga tena na Wakomunisti wenzake akafaulu kupokelewa na kundi la Walter Ulbricht, Wakomunisti Wajerumani waliorudi pamoja na washindi Warusi.
 
Mwaka 1946 Honecker aliteuliwa kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama na pia kuwa kiongozi wa [[Vijana Huru wa Kijerumani|Vijana Huru wa Kijerumani (FDJ)]], umoja wa vijana wote katika ukanda wa mamalaka ya Kirusi wa Ujerumani. Wakati mamlaka ya kijeshi ya Kirusi ililazimisha maungano ya vyama vya Kikomunisti na Kijamii-kidemokrasia (social democrat), Honecker alikuwa mwanahama wa [[Chama cha Muungano Kisoshalisti Ujerumani]] (SED).
 
Honceker alikuwa mbunge wa bunge katika eneo chini ya mamlaka ya Kisovyeti tangu uchaguzi wa Oktoba 1946. Baada ya kuundwa kwa [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]] kwenye Oktoba 1949, Honecker aliteuliwa kuingia katika Kamati Kuu ya chama mnamo 1950, alipokuwa mjumbe kamili mnamo 1958. Akiwa mwenyekiti wa umoja wa Vijana FDJ, alijitahidi hasa kupunguza athira ya vikundi vya vijana vya makanisa alivyotazama kama wapinzani wake wa kiitikadi. 1955 hadi 1957 Hoecker alikaa Moscow kwa masomo ya kiitikadi, na hapo alishiriki kwenye Mkutano wa XX wa Chama cha Kikomunisti ambako [[Nikita Krushchov]] alibomoa kumbukumbu ya [[Josef Stalin|Joseph Stalin]].
Mstari 29:
Honecher alikamatwa na kushtakiwa; lakini aliachiliwa kwa sababu ya afya mbaya na mnamo 13 Januari mwaka huo alihamia Chile kuishi na binti yake Sonja aliyeolewa na Mchile.
 
Alikufa nakwa saratani ya ini huko Santiago, Chile mnamo 29 Mei 1994.
 
==Marejeo==
<ref>*{{Cite web|url=http://www.calvin.edu/academic/cas/gpa/erich1.htm|title=Erich Honecker Speech on Peace (1984)|first=Erich|author=Honeker|work=calvin.edu|year=1984|accessdate=17 December 2011}}</ref>
==Viungo vya Nje==
Mstari 42:
* [https://archive.org/details/WelcomingAddressto1979SessionoftheWorldPeaceCouncil ''Welcoming Address to 1979 Session of the World Peace Council'' Erich Honecker's speech to the WPC]
* [https://archive.org/details/ASuccessfulPolicySearedtotheNeedsofthePeople ''A Successful Policy Seared to the Needs of the People'' Volkskammer pamphlet including material by Honecker]
 
[[Jamii:Waliofariki 1994]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1912]]
[[:jamii:Wanasiasa wa Ujerumani]]
[[jamii:Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]]