James Hadley Chase : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: Manual revert
Add 1 book for verifiability (20210217)) #IABot (v2.0.8) (GreenC bot
Mstari 1:
'''James Hadley Chase''' (24 Disemba 1906&nbsp;– 6 Februari 1985)<ref>Obituary ''[[Variety Obituaries|Variety]]'' 13 February 1985</ref> alikuwa mwandishi kutoka nchini [[Uingereza]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''René Lodge Brabazon Raymond''', alifahamika kwa majina yake mengine kadhaa ikiwa ni pamoja na James Hadley Chase, '''James L. Docherty''', '''Raymond Marshall''', '''R. Raymond''', na '''Ambrose Grant'''.
 
Alifahamika sana kwa ubora wake wa kuunda riwaya za mtindo wa kusisimua. Huhesabiwa kama mwandishi bora kabisa katika mtindo huo kwa muda wote. Vitabu vya Chase, vinafikia 90, vimempatia sifa ya kuwa mfalme wa riwaya za kutisha barani Ulaya.<ref>{{cite book|title=Critical survey of mystery and detective fiction|url=https://archive.org/details/criticalsurveyof0003unse_y0q9|page=319|author=Frank Northen Magill|publisher=Salem Press|year=1988|ISBN=0-89356-486-9}}</ref> Halkadhalika alikuwa mtunzi bora ana aliyeuza sana kimataifa.
 
Vitabu vyake 50 vimepata kutengenezewa filamu.<ref>{{cite book|title=The Bookseller|page=46|author=Publishers' Association, Booksellers Association of Great Britain and Ireland|publisher=J. Whitaker|year=1982}}</ref>