Yohane wa Fiesole : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Add 1 book for verifiability (20210217)) #IABot (v2.0.8) (GreenC bot
Mstari 8:
'''Yohane wa Fiesole, [[O.P.]]''' au '''Beato Angelico''' (yaani, kwa [[Kiitalia]]: "Mwenye heri wa Kimalaika"<ref>Andrea del Sarto, Raphael and Michelangelo were all called "Beato" by their contemporaries because their skills were seen as a special gift from God</ref>; jina la awali: '''Guido di Pietro'''; Vicchio, [[Firenze]], [[1395]] hivi<ref>[http://www.metmuseum.org/toah/hi/hi_fang.htm Metropolitan Museum of Art]</ref> – [[Roma]], [[18 Februari]] [[1455]]) alikuwa [[mtawa]] [[padri]] maarufu kama mmojawapo wa wachoraji wa kwanza wa [[Renaissance]] nchini [[Italia]]. [[Mtaalamu]] [[Giorgio Vasari]] katika [[kitabu]] chake ''[[Maisha ya Wasanii]]'' aliandika kwamba alikuwa na "kipaji adimu na kamili".<ref name=Vasari>[[Giorgio Vasari]], ''Lives of the Artists''. Penguin Classics, 1965.</ref>
 
Tarehe [[3 Oktoba]] [[1982]] [[Papa Yohane Paulo II]] alimtangaza rasmi kuwa [[mwenye heri]],<ref name="blessed">{{cite book | last1 = Bunson | first1 = Matthew | last2 = Bunson | first2 = Margaret | title = John Paul II's Book of Saints | url = https://archive.org/details/johnpauliisbooko0000buns | publisher = Our Sunday Visitor | year = 1999 | pages = [https://archive.org/details/johnpauliisbooko0000buns/page/156 156] | isbn = 0-87973-934-7 }}</ref> kutokana na [[utakatifu]] wa [[maisha]] yake, si tu kwa kipaji chake cha kutoka [[mbinguni]].<ref>Roman Martyrology—the official publication which includes all [[Saints]] and [[Blesseds]] recognised by the [[Roman Catholic Church]]</ref>. Vasari huyohuyo aliandika kwamba "haiwezekani kumsifu mno baba huyo mtakatifu, aliyekuwa mnyenyekevu na mtaratibu hivi katika yale yote aliyoyafanya na aliyoyasema, na ambaye picha zake zilichorwa kwa unyofu na ibada kubwa hivi."<ref name=Vasari/>
 
==Tanbihi==