Rubela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Add 1 book for verifiability (20210217)) #IABot (v2.0.8) (GreenC bot
 
Mstari 1:
[[Picha:Infant with skin lesions from congenital rubella.jpg|300px|thumb|Mtoto anayeonyesha dalili za rubela ya kuzaliwa nayo.]]
'''Rubela''' (inajulikana pia kama '''surua ya Kijerumani''' au '''surua ya siku tatu''') <ref name=Neighbors2010>{{cite book|last=Neighbors|first=M|last2=Tannehill-Jones|first2=R|title=Human diseases|url=https://archive.org/details/workbooktoaccomp0000neig|edition=3rd|chapter=Childhood diseases and disorders|pages=457–79[https://archive.org/details/workbooktoaccomp0000neig/page/n457 457]–79|publisher=Delmar, Cengage Learning|location=Clifton Park, New York|year=2010|isbn=978-1-4354-2751-8}}</ref> ni [[maambukizi]] yanayosababishwa na [[virusi]] vya rubela. [[Ugonjwa]] huu mara nyingi si mkali na [[nusu]] ya [[watu]] hawajitambui kuwa ni [[wagonjwa]].<ref name=WHO2011>{{cite journal|title=Rubella vaccines: WHO position paper.|journal=Wkly Epidemiol Rec|date=15 July 2011|volume=86|issue=29|pages=301-16|pmid=21766537|url=http://www.who.int/wer/2011/wer8629.pdf}}</ref>
 
[[Upele]] unaweza kuanza karibu [[wiki]] [[mbili]] baada ya kushambuliwa na hivyo virusi na hudumu kwa [[siku]] [[tatu]]. Kawaida huanza kwenye [[uso]] na kuenea kwa [[mwili]] wote. Upele si mkali kama ule wa [[ukambi]] na wakati mwingine huwa mkali. [[Homa]], [[maumivu]] ya [[koo]], na [[uchovu]] huweza pia kutokea. Maumivu ya [[viungo]] kwa watu wazima ni kawaida. [[Dalili]] nyingine ni pamoja na za [[kutokwa na damu]], [[uvimbe]] wa [[pumbu]], na kuvimba kwa [[Mshipa|mishipa]]. Kuambukizwa mwanzoni mwa [[ujauzito]] kunaweza kusababisha [[mtoto]] kuzaliwa na ugonjwa huu au kuharibika [[mimba]].