Kuua kwa kukusudia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Polisi kwenye mahali pa uuaji kwa kusudi mjini Rionde Janeiro, Brazil '''Kuua kwa kukusudia''' (ing.'' murder'') ni kosa la sheri...'
Tag: 2017 source edit
 
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 8:
Katika sheria za kisasa uuaji kwa kusudi hutazamiwa kama jinai dhidi ya jamii unaopaswa kuadhibiwa na dola. Katika mifumo ya sheria ya kimapokeo ulitazamiwa mara nyingi kama jambo la kibinafsi, pia kwa kutotofautisha kati ya uuaji kwa kusidi au bila kusudi; hapo ukoo wa aliyeuawa alikuwa na haki ya kulipiza kisasi kwa kumwua muuaji au ndugu wake. Ili kupakana marudio ya kisasi mifumo mingi ya kimapokeo ilijua pia malipo ya fidia.
 
Mfumo wa fidia iko hadi leounapatikana katika nchi kadhaa (mfano [[Iran]], [[Saudia]], [[Pakistan]]) zinazofuata [[sharia ya Kiislamu]] ambako ni juu ya familia ya aliyeuawa kuamua kuhusu fidia au utekelezaji wa hukumu ya kifo.
 
==Marejeo==
Mstari 23:
 
 
[[:Jamii:Makosa ya jinai]]