Nasaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Nasaba''' ikitumiwa kwenye masomo ya historia au siasa inataja ufuatano wa watawala hasa wafalme katika familia moja. Mtoto wa mfalme huwa mfalme tena na kadhalika. Neno la...
 
No edit summary
Mstari 5:
Kati ya nasaba za kifalme za leo ni hasa nasaba ya Matenno wa [[Japani]] iliyodumu muda mrefu. Tangu [[Tenno]] wa kwanza ni watawala 125 wanaohesabiwa katika familia hiyohiyo hadi [[Kaisari]] au Tenno [[Akihito]] wa leo.
 
Nasaba nyingine inyojulikana duniani ni [[Windsor]] na malkia [[Elizabeth II wa Uingereza]] ni wa nne katika nasaba hii nchini [[Uingereza]].
 
Katika [[Afrika]] familia ya wafalme wa [[Uswazi]] iko kati ya nasaba za kale zinazoendelea kutawala.
Nasaba ya Suleimani iliyotawala [[Ethiopia]] tangu 1270 BK ilipinduliwa katika mapinduzi ya [[1974]].