Kuua kwa kukusudia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 2:
'''Kuua kwa kukusudia''' (ing.'' murder'') ni kosa la sheria ambako mtu mmoja anasababisha kifo cha mtu mwingine kwa kusudi na kwa nia mbaya.
 
Sheria ya [[Tanzania]] inafafanulia: ''"Mtu yeyote ambaye, kwa dhamira ya uovu, anasababisha kifo cha mtu mwingine kwa kitendo kisicho halali au kuacha kutenda ana hatia ya kuua kwa kukusudia."''<ref>Kiingereza: "Any person who, with malice aforethought, causes the death of another person by an unlawful act or omission is guilty of murder." Tanzania Proncipal Legislation, Chapter 16, The Penal Code, Chapter XX, Muder and manslaughter, ss. 196. [https://www.un.org/depts/los/LEGISLATIONANDTREATIES/PDFFILES/TZA_penal_code.pdf online hapa]</ref>
 
Adhabu ya kuua kwa kukusudia ni [[adhabu ya kifo]]<ref>Ss 197.</ref>, ingawa adhabu hiyo haikutekelezwa tena Tanzania tangu mwaka 1994<ref>[https://www.pgaction.org/ilhr/adp/tza.html Tanzania and the Death Penalty], tovuti ya PGA - Parlamentarians for Global Action, iliangaliwa February 2021</ref>, nchini [[Kenya]] tangu 1987, Uganda tangu 2005 https://www.pgaction.org/ilhr/adp/uga.html<ref>[https://www.pgaction.org/ilhr/adp/uga.html Uganda and the Death Penalty], tovuti ya PGA - Parlamentarians for Global Action, iliangaliwa February 2021</ref>. Idadi ya nchi zilizofuta adhabu ya mauti inazidi kuongezeka<ref>[https://achpr.org/public/Document/file/English/study_question_deathpenalty_africa_2012_eng.pdf [https://achpr.org/public/Document/file/English/study_question_deathpenalty_africa_2012_eng.pdf] Study on the question of the Death Penalty in Africa], African Commission on Human and Peoples’ Rights , Banjul, The Gambia</ref>.