Jinai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1:
'''Jinai''' ni kitendo kinachofanywa na [[Binadamu|mtu]] ambacho ni kinyume na [[sheria]] za [[nchi]] au eneo. Kwa hiyo jinai inafafanuliwa na [[sheria]] inayotaja matendo maalum kuwa vile.
 
Matendo yanayotajwa kama jinai hutazamiwa kuwa hatari ya amani katika jamii na pia kuvunja haki za watu. Kwa hiyo katika mifumo ya sheria ya kisasa [[dola]] linalenga kulinda amani na haki kwa kutunga sheria zinazokataza jinai. Jinai kwa jumla hutawaliwa na sheria ya jinai, ambayo ni tofauti na sheria ya
 
Kwa kawaida tendo fulani linahitaji kutendwa pamoja na nia ya kuvunja sheria ili kutajwa jinai. Hata hivyo, pia matendo maalum yanayotendwa "kwa namna ya kutokuwa mwangalifu au kupuuza kwa kiasi cha kuhatarisha maisha ya binadamu au kusababisha dhara kwa mtu mwingine yeyote"<ref>Kanuni ya Adhabu Tanzania (Penal Code , Chapter 16 of the Laws (revised), Jinai kwa kutojali na kupuuza, ss. 233. ([https://sheriakwakiswahili.blogspot.com/p/downloads.html<nowiki> online hapa])</ref> yanaweza kuangaliwa kama jinai.