Jinai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Jinai''' ni kitendo kinachofanywa na [[Binadamu|mtu]] ambacho ni kinyume sana na [[sheria]] za [[nchi]] au eneo. Kwa hiyo jinai inafafanuliwa na [[sheria]] inayotaja matendo maalum kuwa vile<ref>[https://sheriakiganjani.co.tz/page.php?key=226<nowiki> Nini maana ya jinai?], tovuti ya Sheria Kiganjani, inayotolewa na Tanganyika Law Society</nowiki></ref>.
 
Matendo yanayotajwa kama jinai hutazamiwahutazamwa kuwa hatari yakwa [[amani]] katika [[jamii]] na pia kuvunja [[haki]] za watu. Kwa hiyo katika mifumo ya sheria ya kisasa [[dola]] linalenga kulinda amani na haki kwa kutunga sheria zinazokataza jinai. Kwa hiyo si kazi ya mtu aliyepata madhatamadhara kufuatilia jinai, bali ni kazi ya dola.<ref>[https://sheriakiganjani.co.tz/uploads/97731-jinai.pdf Wakili Manace Ndoroma: Kosa la jinai, maelezo na ufafanuzi]</ref>
 
Kwa kawaida tendo fulani linahitaji kutendwa pamoja na nia ya kuvunja sheria ili kutajwa kama jinai. Hata hivyo, pia matendo maalum yanayotendwa "kwa namna ya kutokuwa mwangalifu au kupuuza kwa kiasi cha kuhatarisha maisha ya binadamu au kusababisha dhara kwa mtu mwingine yeyote"<ref>Kanuni ya Adhabu Tanzania (Penal Code , Chapter 16 of the Laws (revised), Jinai kwa kutojali na kupuuza, ss. 233. ([https://sheriakwakiswahili.blogspot.com/p/downloads.html<nowiki> online hapa])</ref> yanaweza kuangaliwa kama jinai.
 
Ilhali kila jinai inavunja sheria, siyo kila unvunjajiuvunjaji wa sheria inayohesabiwaunahesabiwa kama jinai. Kuvunja sheria za [[biashara]] na [[Mkataba|mikataba]] baina ya watu inaweza kufuatiliwa kwa [[kesi]] za madai mbele ya [[mahakama]], lakini mara nyingi hazifuatiliwi mara moja na vyombo vya dola.
 
Kutokea kwa jinai kunahitaji kuthibitiishwakuthibitishwa na mahakama au [[jaji]] anayeangalia mashtaka dhidi ya mtu na kutoa [[hukumu]] ambako hatia fulani kulingana na sheria inathibitishwa au kukataliwa. Kama mkosaji anahukumiwa kuwa na hatia, jaji ataamua kuhusu [[adhabu]] yake. Sheria za jinai hutaja adhabu maalumu kwa kila aina ya kosa, ilhali jaji kwa kawaida ana chaguo fulani kuamulia kiwango cha ajabuadhabu.
 
== Marejeo ==
Mstari 44:
}}
* Vinogradoff, Paul. (1909). ''Roman Law in Medieval Europe''. Reprint edition (2004). Kessinger Publishing Co. ISBN 1-4179-4909-0
{{sheria}}
 
[[Jamii:Sheria]]
[[jamii:Makosa ya jinai]]