Tofauti kati ya marekesbisho "Oksidi"

20 bytes added ,  miezi 9 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Oksidi''' ni kampaundi ya kikemia yenye angalau atomu 1 ya oksijeni pamoja na angalau atomu moja wa elementi nyingine. Mifano ya oksidi ni pamo...')
Tag: 2017 source edit
 
 
'''Oksidi''' ni [[kampaundi ya kikemia]] yenye angalau [[atomu]] 1 ya [[oksijeni]] pamoja na angalau atomu moja waya [[elementi]] nyingine.
 
Mifano ya oksidi ni pamoja na:
*[[Maji]] (oksidi ya [[hidrojeni]]) (H<sub>2</sub>O)
*[[Kutu]] (oksidi ya [[chuma]]) (Fe<sub>2</sub>O<sub>3</sub>)
*[[Dioksidi kabonia]] (CO<sub>2</sub>)
*[[Monoksidi kabonia]] (CO)
*[[Alumini|Oksidi ya alumini]] (Al<sub>2</sub>O<sub>3</sub>)
 
[[Metali]] nyingi hupatikana kama [[mitapo]] ambamo [[metali]] kama chuma inapatikana kwaina [[umbo]] la oksidi.
{{mbegu-kemia}}
 
[[Category:Oksidi| ]]