Kiyiddish : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kiyiddish''' (lugha ya wenyewe: '''יידיש''' , ing. ''Yiddish'') ni lugha inayotumiwa na Wayahudi. Ilikuwa lugha kuu ya Wayahudi wengi duniani, hasa...'
Tag: 2017 source edit
 
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1:
[[Picha:Women voter outreach 1935 English Yiddish.jpg|thumb|Tangazo kwa wapiga kura wa kike kwa Kiingereza na Kiyiddish katika mtaa wa Marekani, mnamo 1935]]
'''Kiyiddish''' (lugha ya wenyewe: '''יידיש''' , ing. ''Yiddish'') ni lugha inayotumiwa na [[Wayahudi]]. Ilikuwa lugha kuu ya Wayahudi wengi duniani, hasa katika Ulaya ya Kati na Ulaya ya Mashariki hadi [[maangamizu makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya]]. Tangu maangamizi makuu idadi ya wasemaji imepungua sana, leo kuna takriban wasemaji 600,000 duniani. Ni tofauti na [[Kiebrania]] ambayo ni lugha ya kidini ya Wayahudi na lugha rasmi katika nchi ya [[Israel|Israeli]], lakini huandikwa kwa [[Mwandiko wa Kiebrania|herufi za Kiebrania]].
 
Line 5 ⟶ 6:
Asilimia kubwa ya msamiati ni Kijerumani cha Kale; kuna makadirio takriban asilimia 70 ya maneno ni kutoka Kijerumani, asilimia 20 kutoka Kiebrabia na asilimia 10 kutoka lugha za Kislavoni, yaani mazingira ya wasemaji wa Kiyiddish<ref>https://www.jewishencyclopedia.com/articles/8948-judaeo-german Richard Gottheil, Leo Wiener: JUDÆO-GERMAN; katika Jewish Encyclopedia 1906</ref>.
 
Katika karne ya 19 maeneo penye wasemaji wa Kiyiddish yaliwekwa chini ya utawala wa [[Urusi|Milki ya Urusi]] na kutokana na mateso dhidi ya Wayahudi milioni kadhaa walianza kuhamia Marekani walipoendelea kutumia Kiyiddish. Mnamo mwaka 1939, kabla ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia|ita Kuu ya Pili ya Dunia]], idadi ya wasemaji ilikadiriwa kuwa mnamo milioni 11. Nusu yao waliuawa katia maangamizi makuu na wangi waliobaki walihama walienda Israeli, Marekani au katika nchi nyingine, ambako wengi wao walijifunza lugha ya nchi na kwa njia hiyo utamaduni wa Kiyiddish ilipotea katika familia.
 
Leo hii wasemaji wako hasa katika Marekani, hasa katika jumuiya ya Wahasidi, na nchini Israeli.