Mtapo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Banded iron formation.jpg|thumb|Mtapo wa chuma]]
[[Picha:Chalcopyrite-Magnetite-cktsr-10c.jpg|thumb|Madini ya magnetiti (oksidi ya chuma) katika mtapo]]
'''Mtapo''' (ing. ''ore'', wakati mwingine pia '''mbale'''<ref>[[Kamusi Kuu ya Kiswahili|Kamusi Kuu]] ya BAKITA, [[Kamusi ya Kiswahili sanifu|KKS]] na [[KKK/SED]] ya [[Taasisi ya Taaluma za Kiswahili|TUKI]] na [[Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinologia]] hutumia "mtapo", ilhali KKK/ESD ya Tuki inatumia "mbale", inayotumika pia katika maandiko ya Wizara ya Madini Tanzania ([https://www.madini.go.tz/wp-content/uploads/2019/02/MWONGOZO-WA-KUHAKIKI-UONGEZAJI-THAMANI-MADINI_GN-NO-60-OF-2019.pdf Mfano uk. 6].</ref>; kwa Kiingereza: ''ore'') ni [[Mwamba (jiolojia)|mwamba]] asilia au [[mashapo]] mwenyeyenye [[madinmadini]]i ya [[thamani]] ndani yake, hasa mwenyeyenye [[metali]] ndani yake.
Mtapo hupatikana katika ardhi au chini ya ardhi au ndani ya [[mlima]] ukitolewa kwa kuuchimba, mara nyingi katika [[Mgodi|migodi]]. Baadaye madini yanayotafutwa hutolewa kwa njia mbalimbali za kuusafisha, kwa mfano kwa kuupasha [[moto]] hadi metali ndani yake inayeyuka, au kwa njia za [[kemikali]] zinazounda [[kampaundi]] na madini inayotafutwa; kampaundi hiyo inasafishwa baadaye tena.
 
Thamani ya mtapo hutegemea kiwango cha madini yanayotafutwa ndani wake. Hii inategemea na [[maendeleo]] ya [[tekinolojia]] na [[bei]] ya madini yenyewe kwa upande mmoja na [[gharama]] za kutoa mtapo ardhini na kuusafisha kwa upande mwingine.
 
Madini ambayo mitapo yake hupatikana kwa umbo la [[oksidi]], [[sulfidi]] na [[silikati]] au tayari kama metali kama vile [[shaba]] na [[dhahabu]]. Kwa mfano chuma hupatikana kiasili zaidi kama oksidi za Fe<sub>3</sub>O<sub>4</sub> (magnetiti) na Fe<sub>2</sub>O<sub>3</sub> (hematiti).
 
Madini ambayo mitapo yake hupatikana kwa [[umbo]] la [[oksidi]], [[sulfidi]] na [[silikati]] au tayari kama metali kama vile [[shaba]] na [[dhahabu]]. Kwa mfano chuma hupatikana kiasili zaidi kama oksidi za Fe<sub>3</sub>O<sub>4</sub> (magnetiti) na Fe<sub>2</sub>O<sub>3</sub> (hematiti).
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{mbegu-sayansi}}
 
 
[[jamii:Madini]]