Umwagiliaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 5:
[[Picha:Irrigation in the Heart of the Sahara.jpg|thumbnail|200px|Umwagiliaji katika [[Sahara]] (Misri) kwa macho ya ndege: kila duara ina kipenyo cha kilomita moja]]
[[Picha:PivotIrrigationOnCotton.jpg|thumbnail|200px|Umwagiliaji wa [[pamba]] kwa njia ya [[kinyunyizo]] kikubwa kinachozunguka nchani]]
 
'''Umwagiliaji''' (ing. ''irrigation'') ni mtindo wa [[kilimo]] wa kupeleka [[maji]] kwa [[mimea]] [[Shamba|shambani]] pasipo [[mvua]] ya kutosha.
 
Hutumiwa katika maeneo [[yabisi]] au wakati mvua ni kidogo. Katika nchi [[baridi]] unatumiwa pia kwa kusudi la kulinda [[mazao]] dhidi ya [[jalidi]].