Kiyiddish : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Women voter outreach 1935 English Yiddish.jpg|thumb|Tangazo kwa wapiga kura wa kike kwa Kiingereza na Kiyiddish katika mtaa wa Marekani, mnamo 1935.]]
'''Kiyiddish''' (kwa [[lugha]] ya wenyewe: '''יידיש'''; kwa [[Kiingereza]]: ''Yiddish'') ni lugha inayotumiwa na [[Wayahudi]].
'''Kiyiddish''' (lugha ya wenyewe: '''יידיש''' , ing. ''Yiddish'') ni lugha inayotumiwa na [[Wayahudi]]. Ilikuwa lugha kuu ya Wayahudi wengi duniani, hasa katika Ulaya ya Kati na Ulaya ya Mashariki hadi [[maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya]]. Tangu maangamizi makuu idadi ya wasemaji imepungua sana, leo kuna takriban wasemaji 600,000 duniani. Ni tofauti na [[Kiebrania]] ambayo ni lugha ya kidini ya Wayahudi na lugha rasmi katika nchi ya [[Israel|Israeli]], lakini huandikwa kwa [[Mwandiko wa Kiebrania|herufi za Kiebrania]].
 
'''Kiyiddish''' (lugha ya wenyewe: '''יידיש''' , ing. ''Yiddish'') ni lugha inayotumiwa na [[Wayahudi]]. Ilikuwa lugha kuu ya Wayahudi wengi [[duniani]], hasa katika [[Ulaya ya Kati]] na [[Ulaya ya Mashariki]] hadi [[maangamizi makuu dhidi ya Wayahudi wa Ulaya]]. Tangu maangamizi makuuhayo [[idadi]] ya wasemaji imepungua sana, leo kuna takriban wasemaji 600,000 duniani. Ni tofauti na [[Kiebrania]] ambayo ni lugha ya kidini ya Wayahudi na lugha rasmi katika nchi ya [[Israel|Israeli]], lakini huandikwa kwa [[Mwandiko wa Kiebrania|herufi za Kiebrania]].
Asili yake ni Kijerumani ya zamani pamoja na Kiebrania. Ilianzishwa na Wayahudi wa Ujerumani takribani miaka 1,000 iliyopita. Wakati wa mateso dhidi yao katika [[Vita za Misalaba]], wayahudi wengi walianza kuhamia Poland ambako jumuiya kubwa ya Wayahudi duniani ilikua. Katika jamii za Wayahudi wa Poland (iliyojumuisha maeneo ya Poland, Lithuania, Ukraine na Belarus za leo) Kijerumani cha wahamiaji Wayahudi kutoka magharibi kilienea kikawa lugha yao ya pamoja; waliita "lugha ya Kiyahudi" kwa kwa matamshi yao "yiddish".
 
Ni tofauti na [[Kiebrania]] ambayo ni [[lugha ya kidini]] ya Wayahudi na [[lugha rasmi]] katika nchi ya [[Israel|Israeli]], lakini huandikwa kwa [[Mwandiko wa Kiebrania|herufi za Kiebrania]].
Asilimia kubwa ya msamiati ni Kijerumani cha Kale; kuna makadirio takriban asilimia 70 ya maneno ni kutoka Kijerumani, asilimia 20 kutoka Kiebrabia na asilimia 10 kutoka lugha za Kislavoni, yaani mazingira ya wasemaji wa Kiyiddish<ref>https://www.jewishencyclopedia.com/articles/8948-judaeo-german Richard Gottheil, Leo Wiener: JUDÆO-GERMAN; katika Jewish Encyclopedia 1906</ref>.
 
[[Asili]] yake ni [[Kijerumani]] yacha zamani pamoja na Kiebrania. Ilianzishwa na Wayahudi wa [[Ujerumani]] takribani miaka 1,000 iliyopita. Wakati wa mateso dhidi yao katika [[Vita za Misalaba]], wayahudiWayahudi wengi walianza kuhamia [[Poland]] ambako jumuiya kubwa ya Wayahudi duniani ilikua. Katika jamii za Wayahudi wa Poland (iliyojumuisha maeneo ya Poland, [[Lithuania]], [[Ukraine]] na [[Belarus]] za leo) Kijerumani cha [[wahamiaji]] Wayahudi kutoka [[magharibi]] kilienea kikawa lugha yao ya pamoja; waliita "lugha ya Kiyahudi", kwa kwa [[matamshi]] yao: "yiddish".
Katika karne ya 19 maeneo penye wasemaji wa Kiyiddish yaliwekwa chini ya utawala wa [[Urusi|Milki ya Urusi]] na kutokana na mateso dhidi ya Wayahudi milioni kadhaa walianza kuhamia Marekani walipoendelea kutumia Kiyiddish. Mnamo mwaka 1939, kabla ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia|ita Kuu ya Pili ya Dunia]], idadi ya wasemaji ilikadiriwa kuwa mnamo milioni 11. Nusu yao waliuawa katia maangamizi makuu na wangi waliobaki walihama walienda Israeli, Marekani au katika nchi nyingine, ambako wengi wao walijifunza lugha ya nchi na kwa njia hiyo utamaduni wa Kiyiddish ilipotea katika familia.
 
[[Asilimia]] kubwa ya [[msamiati]] ni [[Kijerumani cha Kale]]; kuna makadirio ya kwamba takriban [[asilimia]] 70 ya maneno ni kutoka Kijerumani, asilimia 20 kutoka KiebrabiaKiebrania na asilimia 10 kutoka [[lugha za Kislavoni]], yaani [[mazingira]] ya wasemaji wa Kiyiddish<ref>https://www.jewishencyclopedia.com/articles/8948-judaeo-german Richard Gottheil, Leo Wiener: JUDÆO-GERMAN; katika Jewish Encyclopedia 1906</ref>.
Leo hii wasemaji wako hasa katika Marekani, hasa katika jumuiya ya Wahasidi, na nchini Israeli.
 
Katika [[karne ya 19]] maeneo penyeyenye wasemaji wa Kiyiddish yaliwekwa chini ya [[utawala]] wa [[Urusi|Milki ya Urusi]] na kutokana na mateso dhidi ya Wayahudi [[milioni]] kadhaa walianza kuhamia [[Marekani]] walipoendelea kutumia Kiyiddish. Mnamo [[mwaka]] [[1939]], kabla ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia|ita Kuu ya Pili ya Dunia]], idadi ya wasemaji ilikadiriwa kuwa mnamo milioni 11. [[Nusu]] yao waliuawa katia maangamizi makuu na wangiwengi waliobaki walihama waliendawalihamia Israeli, Marekani au katika nchi nyingine, ambako wengi wao walijifunza lugha ya nchi na kwa njia hiyo [[utamaduni]] wa Kiyiddish ilipotea katika [[familia]].
 
Leo hii wasemaji wako hasa katika Marekani, hasa katika jumuiya ya [[Wahasidi]], na nchini Israeli.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-lugha}}
[[Jamii:Uyahudi]]
[[Jamii:Lugha za Kigermanik]]