Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 28:
==Kundi la Whatsapp==
Habari tumeanzsha kundi la whatsapp kwa wakabidhi.Ukiwa na whatsapp, tafadhali nitumie namba yako. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 17:32, 1 Desemba 2020 (UTC)
 
== Makala za viumbe hai ==
 
Aneth, habari yako? Tuzungumze kuhusu makala za viumbe hai. Unaweza kuniuliza swali lolote unalopenda. Kuhusu sanduku la uainishaji, fungua [[Kigezo:Uainishaji (Mimea)]] ili kuona majina ya taksoni kadhaa. Kila la heri. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 14:38, 26 Februari 2021 (UTC)