Aten : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1:
[[Picha:La_salle_dAkhenaton_(1356-1340_av_J.C.)_(Musée_du_Caire)_(2076972086).jpg|thumb|251x251px351px| Farao [[Akhenaten]] na malkia [[Nefertiti]] wakiabudu Aten]]
[[Picha:Aten.svg|thumb|200x200px| Aten]]
'''Aten''' (pia '''Aton''') ni jina la [[Jua]] lililoabudiwa kama [[mungu]] nchini [[Misri ya Kale|Misri]], hasa wakati wa [[Farao Akhenaten]]. Mungu aliyeabudiwa kwa umbo Jua nchini Misri tangu kale alikuwa [[Ra (Misri)|Ra]]. Kiasili Aten alikuwa duara ya Jua tu inayoonekana angani, ikachukuliwa kama ishara ya Ra au sura mojawapo. Aten aliitwa mwanzoni "jicho la Ra" na baadaye "kiti cha Ra". Aten alichorwa kama duara pamoja na miale iliyoishia katika mikono.