Content deleted Content added
Mstari 32:
 
Aneth, habari yako? Tuzungumze kuhusu makala za viumbe hai. Unaweza kuniuliza swali lolote unalopenda. Kuhusu sanduku la uainishaji, fungua [[Kigezo:Uainishaji (Mimea)]] ili kuona majina ya taksoni kadhaa. Kila la heri. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 14:38, 26 Februari 2021 (UTC)
:Nashukuru sana kwa msaada kuhusu makala za viumbe hai. Mimi ni mwanabiolojia/bioteknolojia niliyebobea zaidi kwenye kilimo, hivyo nina ujuzi kwenye mimea zaidi na wadudu kwa kiasi. Kwa sasa ninatafsiri makala hii [[w:List of Orchidaceae genera|List of Orchidaceae genera]] kwenda [[Orodha ya jenasi za Orchidaceae]]. Swali la kwanza, kuna sehemu nakuta jina la jenasi linafuatiliwa na jina lingine (common name) kwa kingereza, nimetoa common names zote kwenye makala ya kiswahili kwa kuhofia kunaweza kua na common name nyinginge ambayo tunaita sisi. Hili ni sawa?
::Hi Aneth. Hakuna haja ya kuandika majibu yako kwa majumbe yangu kwenye ukurasa wangu wa majadiliano. Ukurasa wako uko katika orodha yangu ya zile ninazowafuata. Ni sawa kwamba umeondoa majina ya kienyeji ya Kiingereza kwenye orodha ya Kiswahili. Walakini, niliona kuwa umeacha jina moja la kienyeji. Vanila labda ni jina linalotumiwa zaidi kwa spishi hii siku hizi. Lakini ulijua kuwa zamani lavani lilitumika sana? Kwa ukweli, inaonekana kama lilikuwa jina la kwanza kutumika kwa Kiswahili.
::Sasa utafanyaje? Utatafsiri makala za okidi yote? '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 10:40, 27 Februari 2021 (UTC)