Aten : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Tag: 2017 source edit
Mstari 1:
[[Picha:La_salle_dAkhenaton_(1356-1340_av_J.C.)_(Musée_du_Caire)_(2076972086).jpg|thumb|351px| Farao [[Akhenaten]] na malkia [[Nefertiti]] wakiabudu Aten]]
[[Picha:Aten.svg|thumb|200x200px| Aten]]
'''Aten''' (pia '''Aton''') ni jina la [[Jua]] lililoabudiwa kama mmoja ya [[mungumiungu]] nchini [[Misri ya Kale|Misri]], hasa wakati wa [[Farao Akhenaten]]. Mungu aliyeabudiwa kwa umbo Jua nchini Misri tangu kale alikuwa [[Ra (Misri)|Ra]]. Kiasili Aten alikuwa duara ya Jua tu inayoonekana angani, ikachukuliwa kama ishara ya Ra au sura mojawapo. Aten aliitwa mwanzoni "jicho la Ra" na baadaye "kiti cha Ra". Aten alichorwa kama duara pamoja na miale iliyoishia katika mikono.
 
Polepole wakati ibada za Aten yenyewe zilianza na chini ya [[Amenhotep III|Farao Amenhotep III]] (1386 KK hadi 1349 KK) Aten aliabudiwa akionyeshwa kama binadamu mwenye kichwa cha [[Kozi|ndege kozi]], sawa na picha za Ra. Mwanawe Amenhotep IV aliyebadilisha jina lake baadaye kuwa Akhenaten alikuwa mungu wa pekee aliyeabudiwa na mfalme na kwa niaba ya serikali yake. Akhenaten alibadilisha pia namna ya kumwonyesha akitumia duara yenye miale pekee.