Misri ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tag: 2017 source edit |
No edit summary |
||
Mstari 3:
'''Misri ya Kale''' ni [[ustaarabu]] uliokuwepo [[Afrika kaskazini]], sambamba na mto [[Naili]], kuanzia kwenye [[delta]] au [[mdomo]] wa Naili, toka [[kaskazini]] mwa [[Misri]] kwenda [[kusini]] hadi [[Jebel Barkal]], kwenye [[maporomoko]] ya nne, wakati wa kupanuka kwake ([[Karne ya 15 KK]]).
Ustaarabu huo ulidumu kwa karibu [[milenia]] tatu, toka takribani mwaka [[3200 KK]] hadi mwaka [[30 KK]] nchi ilipovamiwa na [[Waroma wa Kale|Waroma]] na kuwa sehemu ya [[Dola la Roma]]. Historia ya kisiasa
[[Uti wa mgongo]] wa Misri ya Kale ulikuwa mto Naili. Sehemu kubwa ya nchi hiyo ni [[jangwa]] lakini [[umwagiliaji]] wa [[shamba|mashamba]] kwa njia ya [[maji]] ya mto huo ulileta [[zao|mazao]] mazuri yaliyolisha watu wengi.
Mahitaji ya kupanga na kutunza [[mifereji]] pamoja na mitambo ya umwagiliaji na kusimamia ugawaji wa maji yalisaidia kutokea kwa vyanzo vya [[hisabati]] na [[mwandiko]]. [[Mwandiko]] wa Misri ulikuwa [[hiroglifi]] zilizokuwa aina ya mwandishi wa [[picha]].
[[Dini]] ya Misri ilitarajia [[maisha]] baada ya [[kifo]] ambayo yanapaswa kuandaliwa na watu wakati wa maisha haya.
[[Wafalme]], walioitwa Ma[[farao]], walijengewa [[kaburi|makaburi]] makubwa sana na [[piramidi]] zao ni kati ya makaburi makubwa kabisa [[duniani]].
==Vipindi vya historia ya Misri ya Kale==
Historia ya Misri hugawiwa kufuatana na [[nasaba]] za wafalme wake ambao kwa jumla zilikuwa 31. Kuna ugawaji wa kimsingi kwa vipindi
*Himaya ya Kale ya Misri (3200 KK - 2100 KK)
*Himaya ya Kati ya Misri (2100 KK - 1500 KK)
*Himaya Mpya ya Misri (1500 KK - 332 KK)
Siku hizi wanahistoria
*Historia ya awali ya Misri:
*Kipindi kabla ya maungano ya Kusini na
*Kipindi cha nasaba za kwanza:
*Himaya ya Kale: 2686 KK –2181
*Kipindi cha kwanza cha mpito:
*Himaya ya Kati:
*Kipindi cha pili cha mpito:
*Himaya Mpya:
*Kipindi cha tatu cha mpito:
*Kipindi cha mwisho:
*Kipindi cha Wagiriki: 332 KK
{{mbegu-historia}}
|