Jinai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 3:
Matendo yanayotajwa kama jinai hutazamwa kuwa hatari kwa [[amani]] katika [[jamii]] na pia kuvunja [[haki]] za watu. Kwa hiyo katika mifumo ya sheria ya kisasa [[dola]] linalenga kulinda amani na haki kwa kutunga sheria zinazokataza jinai. Kwa hiyo si kazi ya mtu aliyepata madhara kufuatilia jinai, bali ni kazi ya dola.<ref>[https://sheriakiganjani.co.tz/uploads/97731-jinai.pdf Wakili Manace Ndoroma: Kosa la jinai, maelezo na ufafanuzi]</ref>
 
Kwa kawaida tendo fulani linahitaji kutendwa pamoja na nia ya kuvunja sheria ili kutajwa kama jinai. Hata hivyo, pia matendo maalum yanayotendwa "kwa namna ya kutokuwa mwangalifu au kupuuza kwa kiasi cha kuhatarisha maisha ya binadamu au kusababisha dhara kwa mtu mwingine yeyote"<ref>Kanuni ya Adhabu Tanzania (Penal Code , Chapter 16 of the Laws (revised), Jinai kwa kutojali na kupuuza, ss. 233. ([https://sheriakwakiswahili.blogspot.com/p/downloads.html<nowiki> online hapa]{{Dead link|date=March 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }})</ref> yanaweza kuangaliwa kama jinai.
 
Ilhali kila jinai inavunja sheria, siyo kila uvunjaji wa sheria unahesabiwa kama jinai. Kuvunja sheria za [[biashara]] na [[Mkataba|mikataba]] baina ya watu inaweza kufuatiliwa kwa [[kesi]] za madai mbele ya [[mahakama]], lakini mara nyingi hazifuatiliwi mara moja na vyombo vya dola.