Masinde Muliro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q6783285 (translate me)
Removing Murilo.jpg, it has been deleted from Commons by Materialscientist because: Copyright violation, see c:Commons:Licensing.
 
Mstari 1:
[[File:Murilo.jpg|frame|Masinde muliro]]
'''Masinde muliro''' (alizaliwa mnamo [[1922]] na aliaga dunia mnamo 14 Agosti 1992) alikuwa mwanasiasa wa Kenya, mmoja wa viongozi wakuu katika kuchagiza siasa nchini [[Kenya]]. Alikuwa mpigania uhuru aliyejulikana na alifanya kampeni kwa ajili ya marejesho ya demokrasia ya vyama vingi nchini Kenya katika miaka yake ya mwisho.
Alikuwa muhawiliki asiye na mzaha wala huruma na mtu wa amani aliyejihusisha sana kwa siasa. Mmoja wa wanasiasa safi zaidi katika historia ya Kenya , rekodi ambayo inaweza pinzaniwa tu na [[Musikari Kombo]] na [[Ronald Ngala]].