Tofauti kati ya marekesbisho "Ulafi"

999 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
Makundi au Aina za ulafi
d (Bot: Migrating 23 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q181022 (translate me))
(Makundi au Aina za ulafi)
Tags: Reverted KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Inakadiriwa kuwa siku hizi mtu 1 kati ya 3 anakula kuliko [[mwili]] wake unavyohitaji, na hivyo anasababisha [[maradhi]] mbalimbali yampate.
 
Upande wa [[maadili]] unahesabiwa kuwa kimojawapo kati ya [[kilema|vilema]] vikuu, ambavyo ni [[mizizi ya dhambi]] nyingine. Ulafi ni changamoto kubwa hasa katika familia duni. Kunasababu tofauti tofauti zinazo sabanisha Hali hii ambazo zipo katika makundi matatu ambayo ni '''kifamilia, kiuchumi''' na '''kijamii.'''
 
'''1, kifamilia;''' hii inamanisha kwamba baazi ya familia keakuwapa watoto chakula kingi tofauti na maumbile yao au miili yao inavyo hotaji jwakuamini kwamba ndio namna yakufanya mtu kuwa na nguvu zaidi na husababisha mazara makubwa hasa kwa watoto
 
'''2, kiuchumi;''' ulafi kwa namna moja au nyingine husababisha na changamoto ya kiuchumi ( kushindwa kukizi mahitaji ya kifamilia hususani ''chakula)'' ambapo watoto hupata nafasi ya kula mlo was Aina moja kwa mda mrefu hivyo pale wanapo pata chakula Cha namna nyingine husababisha kula tofauti na maumbile yao (ulafi)
 
 
 
'''3, kijamii,''' baazi ya jamii huaminisha kula kwa mtu tofauti na hitajio la mwili wake ni chanzo Cha kupata nguvu na kypunguza saizi ya mwili ambapo huchangiwa na kukosa elimu ya kutosha kuhusiana na changamoto hii (ulafi)
 
 
{{mbegu}}
Anonymous user