Kuponi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya MikeJohnsson (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 1:
'''Kuponi''' (kutoka [[Kiingereza]] "[https://www.bummelwelt.de coupon]"), katika mada ya [[soko]] na [[uuzaji]], ni [[tiketi]], kijifurushi ama kijikaratasi ambacho kinaweza kukombolewa kwa [[fedha]] na kurejeshwa wakati wa [[ununuzi]] wa [[Kitu|vitu]]. Kuponi ni njia moja ya kuwapa [[mteja|wateja]] [[punguzo]] la [[bei]] kwa [[bidhaa]] wanazozinunua.
 
Kawaida kuponi hutolewa na watengenezaji ili itumike ndani ya uuzaji kama njia moja ya kukuza mauzo. Mara kwa mara husambazwa kupitia [[bahasha]], [[magazeti]], [[wavuti]] kama vile [[mitandao ya kijamii]], [[barua pepe]], moja kwa moja kutoka kwa [[muuzaji]], [[simu]] kama vile [[rununu]] ama [[simu ya mkononi]].