Tofauti kati ya marekesbisho "Waiksosi"

35 bytes added ,  miezi 7 iliyopita
no edit summary
Tag: 2017 source edit
 
[[File:ibscha.jpg|thumb|200px|right|Waasia wa kwanza walivyochorwa wakiingia MIsriMisri mnamo [[1900 KK]]: kutoka [[kaburi]] la [[Khnumhotep II]], [[afisa]] wa [[Farao]] [[Senusret II]] huko [[Beni Hasan]].]]
'''Waiksosi''' (kwa [[Kiingereza]] ''Hyksos'', kutoka [[Kimisri]] "heqa khaseshet", "watawala wa kigeni";, kupitia [[Kigiriki]] Ὑκσώς, Ὑξώς, Yuksos) walikuwa [[watu]] mchanganyiko kutoka [[Asia Magharibi]],<ref name=EB_Hyksos>{{cite web |url= http://www.britannica.com/EBchecked/topic/279251/Hyksos#ref756992 |title= Hyksos (Egyptian dynasty) |author= |date= |work= [[Encyclopædia Britannica Online]] |publisher= [[Encyclopædia Britannica, Inc.]] |accessdate= 8 September 2012}}</ref> waliohamia [[mashariki]] mwa [[Delta la Nile]] kabla ya [[mwaka]] [[1650 KK]]. Ujio wao ulikomesha [[nasaba ya kumi na tatu ya Misri]] na kuanzisha [[Kipindi cha kati cha pili]].<ref>Redford D., ''Egypt, Canaan and Israel in ancient times'', 1992</ref>
 
[[Uhamiaji]] wa watu kutoka [[Kanaani]] mwishoni mwa [[nasaba ya kumi na mbili ya Misri]] ([[1800 KK]] hivi) uliwatangulia Waiksosi wenyewe. [[Wakanaani]] hao waliunda ufalme wao huko wakati huohuo au mnamo [[1720 KK]].<ref name="ryholt"/> Hiyo [[nasaba ya kumi na tatu ya Misri]] ilitawala mashariki mwa [[delta]] wakati mmoja na Nasaba ya kumi na tatu iliyotawala sehemu kubwa ya [[Misri]].
* [http://nabataea.net/hyksos.html The Hyksos, Kings of Egypt and the land of Edom] {{Wayback|url=http://nabataea.net/hyksos.html |date=20110807022924 }} based on the 1962 book by David J. Gibson
* [http://www.aldokkan.com/egypt/hyksos.htm The Hyksos]
[[Jamii:Misri ya Kale]]
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Historia ya Misri]]