Sera za kigeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Trump Kim Summit at the Capella Hotel (4).jpg|thumb|300px|[[Donals Trump|Rais Trump]] wa [[Marekani]] na [[Kim Jong Un]] wa [[Korea Kaskazini]] walikutana [[Singapur]] [[mwaka]] [[2018]] katika jaribio la kubadilisha sera za kigeni kati ya mataifa yao.]]
'''Sera za kigeni''' ya [[nchi]] (pia inaitwa '''sera ya mahusiano ya kimataifa, siasa ya nje'''; ''(ing.kwa Kiingereza: foreign policy)'' ni jumla ya matendo, matamshimatamko na mipango ya nchi vinavyolenga kuendeleza uhusiano wake na nchi nyingine, pamoja na jumuiya na shirikamashirika zavya nchi za nje kiuchumikuhusu [[uchumi]], kisiasa[[siasa]], kijamii[[jamii]] na kijeshi[[jeshi]].
 
Sera za kigeni zinabuniwa ili kusaidia kulinda [[maslahi]] ya [[kitaifataifa]] ya nchi, [[usalama wa kitaifataifa]], malengo ya [[Itikadi|kiitikadi]], na [[mafanikio]] ya kiuchumi. Hii inaweza kufanyika kama matokeo ya ushirikiano wa [[amani]] na mataifa mengine, au kwa njia za kutisha hadi kutumia nguvu ya kijeshi.
 
Kwa kawaida sera ya kigeni huongozwa na [[waziri mkuu]] na [[Wizara ya mambo ya nje|waziri wa mambo ya nje]]. Katika baadhi ya nchi [[bunge]] pia lina [[jukumu]] kiasi la kuzisimamia.
 
Katika nchi mbalimbali, hasa penyezenye [[Serikali ya kiraisi]], mkuu wa nchi ana jukumu kwa sera za kigeni, wakati mkuu wa [[serikali]] hasa anahusika na sera ya ndani.
 
== Nadharia ya mahusiano ya kimataifa ==
[[Taaluma]] inayoshughulika na [[utafiti]] wa mahusiano ya kigeni hujulikana kama [[uchambuzi wa sera za kigeni]] (''Foreign Policy Analysis'').
 
== Angalia Piapia ==
* [[Waziri wa kigenimambo ya nje]]
* [[Balozi]]
* [[Mahusiano ya kimataifa]]
* [[Sera]]
* [[Mafundisho ya sera za kigeni]]
* [[Sera ya Nje Potovu]]
 
 
== Viungo vya nje ==
Line 28 ⟶ 24:
* [https://web.archive.org/web/19981205110039/http://www.brookings.edu/fp/fp_hp.htm Masomo ya Sera za Kigeni katika Taasisi ya Brookings]
* [http://www.worldpoliticsreview.com Marejeo ya Siasa za Dunia: Nakala ya Kila Siku ya Sera za Kigeni na Usalama wa Kitaifa]
 
{{mbegu-siasa}}
 
[[Jamii:Siasa]]
[[Jamii:Vitengo vya sayansi ya siasa]]
[[Jamii:Mahusiano ya kimataifa]]
[[Jamii:Sera za kigeni]]
[[Jamii:Sera ya umma]]