Shaka Zulu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: is:Sjaka
Mstari 7:
 
===Kijana===
Shaka alikuwa mtoto wa chifu [[Senzangakhona ka Jama]] na [[Nandi]] binti wa chifu wa [[Langeni]]. Jina lake ni kutokana na neno la kizulu "iShaka" linalomtaja mdudu ambaye katika iamniimani ya utamaduni wa Kizulu anasemekana kuvuruga hedhi ya wakinamama. Jina hili ni dalili la kuzaliwa nje ya utaratibu. Hivyo miaka ya kwanza ya Shaka ilikuwa miaka migumu bila baba aneyejulikanaanayejulikana rasmi akisikia udharaukudharauliwa yana watu wengine. Utoto huu ulisababisha hasira ndani yake akalipiza kisasi baadaye.
 
Kama kijana Shaka alikaa kwa kabila kubwa zaidi ya [[Mthethwa]] alikoingia pamoja na hirima yake katika jeshi. Wakati ule ukoo wa Wazulu walikubali Wamthehtwa kuwa mabwana wao. Chifu wa MthehthwaMthethwa alikuwa [[Dingiswayo]] alieyeanzishaaliyeanzisha utaratibu mpya wa [[impi]] yaani kupanga watu wake vitani katika vikundi na kuwa na ngazi mbalimbali za mamlaka. Shaka alihudumia miaka sita katika vita za Dingiswayo akawa hodari sana na kujifunza uongozi alioboresha baadaye.
 
===Kurudi kwa Wazulu===