Memphis, Misri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Memphis200401.JPG|thumb|Mabaki ya ukumbi wa nguzo, Memphis ya Kale (leo Mit Rahineh)]]
'''Memphis''' ilikuwa [[mji mkuu]] wa [[Misri]] ya [[Kaskazini]], na baadaye pia ya [[Misri ya Kale]] yote kuanzia maungano ya Misri ya Kaskazini na Misri ya Kusini chini ya [[Farao Menes]] hadi karibu [[mwaka]] [[2200 KK]]. Baadaye ilirudi tena kama mji mkuu wakati wa Ufalme Mpya wa Misri. <ref>Katheryn A. Bard, ''Encyclopedia of the Archaeology of Ancient Egypt'', Routledge 1999, p.694</ref> Kilikuwa [[kitovu]] cha [[utawala]] hadi utawala wa [[Roma ya Kale|Kiroma]] juuyjuu aya Misri.<ref>Lynn Meskell, ''Private Life in New Kingdom Egypt'', Princeton University Press 2002, p.34</ref> <ref>Ian Shaw, ''The Oxford History of Ancient Egypt'', Oxford University Press 2003, p.279</ref>
 
[[Jina]] lake la zamani lakwa [[Kimisri]] lilikuwa '''Ineb Hedj''' ("Kuta Nyeupe"). Jina "Memphis" ( Μέμφις ) lilitungwa na [[Wagiriki|Wa]][[Kigiriki|giriki]] waliojaribu kutamka jina la [[piramidi]] ya [[Pepi I]] ([[nasaba]] ya 6), ambayo ilikuwa '''Men-nefer''', <ref>Bridget McDermott, ''Decoding Egyptian Hieroglyphs: How to Read the Secret Language of the Pharaohs'', Chronicle Books 2001, p.130</ref> na ikawalikawa '''Menfe''' katika [[matamshi]] ya kawaida.
 
[[Miji]] ya kisasa ya Mit Rahina, Dahshur, Saqqara, Abusir, Abu Gorab, na Zawyet el'Aryan, [[kusini]] mwa [[Kairo]], yote iko ndani ya mipaka ya kiutawala ya Memphis ya kihistoria ( 29°50′58.8″N, 31°15′15.4″E ).
 
Memphis pia ilijulikana katika [[Misri ya Kale]] kama '''Ankh Tawy''' ("Inayoshika nchi zote mbili") kwa sababu ya nafasi ya kimkakati ya mji kati ya Misri ya kusini na Misri ya kaskazini.
 
Magofu[[Maghofu]] ya Memphis yako [[km]] 20&nbsp;kusini mwa [[Kairo]], kwenye [[ukingo]] wa [[magharibi]] wa [[Nile|mto Nile]] .
[[Picha:Egypt-Hieroglyphs.jpg|thumb| Hieroglifi[[Hiroglifi]] huko Memphis na [[sanamu]] ya [[Ramses II]] nyuma.]]
Katika [[Biblia ya Kikristo|Biblia]], Memphis inaitwa Moph au Noph.
 
Maghofu yake pamoja na maeneo mapana ya [[Kaburi|makaburi]] ya enzi za Misri ya Kale, pamoja na [[Sakara]] na [[Piramidi za Giza|Pirmidi za Gizeh]], yamepokelewa katika orodha ya [[Urithi wa Dunia]] ya [[UNESCO]]<ref>[https://whc.unesco.org/en/list/86 Memphis and its Necropolis – the Pyramid Fields from Giza to Dahshur], tovuti ya Unesco, iliangaliwa Machi 2021</ref>.
 
== Marejeo ==
Mstari 18:
 
== Vyanzo ==
 
* Baines & Malek ''Atlas ya Utamaduni ya Misri ya Kale'', 2000 
 
== Tovuti zingineMajiranukta ==
Coordinates: 29°50′40.8″N, 31°15′3.3″E
{{mbegu-jio-Misri}}
[[Jamii:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Afrika]]
[[Jamii:Misri ya Kale]]