Tutankhamun : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Tutanchamun_Maske.jpg|thumb| Mask ya mazishi ya Tutankhamun]]
[[Picha:Egypt.KV62.01.jpg|thumb| Kaburi la Tutankhamun katika Bonde la Wafalme]]
'''Tutankhamun''' (pia: '''Tutankhaten, Tutankhamen''') alikuwa [[farao]] wa [[Misri ya Kale]]. <ref>Clayton, Peter A. 2006. ''Chronicle of the Pharaohs: the reign-by-reign record of the rulers and dynasties of Ancient Egypt''. Thames & Hudson. ISBN 978-0-500-28628-9</ref> Alitawala tangu alipokuwa na [[umri]] wa miaka [[tisa]] ([[1334 KK]]) hadi alipokufaalipofariki [[dunia]] ([[1323 KK]]). Alikuwa farao wa [[Nasabaya 18 ya Misri|nasaba ya 18]] ([[familia]] ya kifalme) wakati wa [[Ufalme Mpya . Yeye ni mashuhuri kwa sababu kaburi lake ni kaburi la pekee la makaburi yote ya kifalme yawa Misri|Ufalme yaMpya]]. Kale lililohifadhiwa bila kuporwa hadi karne ya 20.
 
Yeye ni mashuhuri kwa sababu [[kaburi]] lake ni kaburi pekee kati ya makaburi yote ya kifalme ya Misri ya Kale lililohifadhiwa bila kuporwa [[Mali|mali]] hadi [[karne ya 20]].
Tutankhamun alikuwa mtoto wa [[Akhenaten|Farao Akhenaten]] na mmoja wa dada za Akhenaten, <ref name="autogenerated640">{{Cite journal|last=Hawass|first=Zahi|displayauthors=etal|date=2010|title=Ancestry and Pathology in King Tutankhamun's Family|url=http://jama.jamanetwork.com/article.aspx?articleid=185393|volume=303|pages=640–641|access-date=21 October 2013}}</ref> au labda mmoja wa binamu zake, Kiya.
 
==Maisha==
Tutankhamun alitawala kwa miaka 9 na alikufa kijana, akiwa na miaka 19. Alikuwa amemwoa dada yake aliyezaliwa na Ankhesenamun, binti ya Malkia [[Nefertiti]], mama yake wa kambo.
Tutankhamun alikuwa [[mtoto]] wa [[Akhenaten|Farao Akhenaten]] na mmoja wa [[dada]] zawa Akhenaten, <ref name="autogenerated640">{{Cite journal|last=Hawass|first=Zahi|displayauthors=etal|date=2010|title=Ancestry and Pathology in King Tutankhamun's Family|url=http://jama.jamanetwork.com/article.aspx?articleid=185393|volume=303|pages=640–641|access-date=21 October 2013}}</ref> au labda mmoja wa [[binamu]] zake, Kiya.
 
Tutankhamun alitawala kwa miaka 9 na alikufa [[kijana]], akiwa na miaka 19. Alikuwa amemwoa dada yake aliyezaliwa na Ankhesenamun, binti ya [[Malkia]] [[Nefertiti]], mama yake wa kambo.
[[Picha:Tuts_Tomb_Opened.JPG|thumb| Howard Carter akichungulia jeneza la Tutankhamen]]
[[Picha:Ankh-Mirror-TutanchamunTomb.JPG|thumb]]
Katika mwaka wake wa tatu wa ufalme wake, Tutankhamun alirudisha nyuma mabadiliko kadhaa yaliyoanzishwa wakati wa utawala wa baba yake. Alimaliza [[ibada]] ya [[mungu]] [[Aten]] na kurudisha ukuu wa mungu [[Amun]]. Ibada za Amun ziliruhusiwa tena na marupurupu ya kimapokeo yalirudishwa kwa [[ukuhani]] wake. [[Mji mkuu]] ulirudi [[Thebes]] na mji wa Akhetaten uliachwa.
 
Alibadilisha pia [[jina]] lake mwenyewe kutoka Tutankh-Aten kuwa Tutank-Amun akiimarisha urejeshwaji wa ibada ya Amun.
 
== Ugonjwa na kifo ==
[[Uchunguzi]] wa hivi karibuni wa [[mwili]] wake kwa kutumia uchunguzi wa CT na [[DNA|vipimo vya DNA]] vinaonyesha kuwaunaonyesha alikuwa na watoto wawili, lakini walikufa wakiwa wadogo sana. [[Wanasayansi]] sasa wanaamini alikufa kutokana na [[mguu]] uliovunjika, uliofanywa kuwa mgumu zaidi na [[ugonjwa]] wa [[mifupa]] na [[malaria]] . <ref name="abc">{{Cite web|url=http://abcnews.go.com/Health/LivingLonger/king-tut-died-revealed-study/story?id=9853119#.UMT1DOR4xiN|title=How King Tut died revealed in new study|publisher=ABC|work=ABC World News|date=2010|accessdate=December 10, 2012|author=Hasan, Lama}}</ref> Kabla ya ugunduzi huuhuo kulikuwa na [[nadharia]] nyingi juu ya [[kifo]] chake cha mapema, pamoja na mauaji[[uuaji]]. Ni hakika kabisa kwamba aliambukizwa na aina kadhaa za malaria, na uwezekano mkubwa kwamba alikuwa na kasoro za [[maumbile]] zilizosababishwa na kuzaliana kidugu, ilhali mafarao walikuwa na [[desturi]] ya kuoa dada zao. [[Wazazi]] wake walikuwa kaka na dada. <ref>Hawass Z. ''et al'' 2010. Ancestry and pathology in King Tutankhamun's family. Supreme Council of Antiquities, Cairo, Egypt. ''JAMA''. '''303'''(7):638-47. </ref> Sababu ya mwisho ya kifo chake bado haijulikanihaijajulikana.
 
== Nyumba mpya katika Jumba la kumbukumbu la Kairo ==
Mnamo [[1922]] [[Howard Carter]] alikuta kaburi la Tutankhamun. Makaburi yote ya mafarao wa Misri yaliporwa mali tangu zamani. Hapa nikwa mara ya kwanza kaburi liligunduliwa na kufunguliwa ambalo lilikuwa katika hali asilia. Uchunguzi wa viti[[vitu]] vilivyokaa ndaniyndani akeyake ulileta [[utajiri]] wa habari kuhusu [[maisha]] ya Misri ya Kale; vitu vingi kutoka kaburi hilo vinaonyeshwa katika [[jumba]] la kumbukumbu[[makumbusho]] la Misri mjini [[Kairo]].
 
Mnamo [[2014]] Jumba lahilo kumbukumbu la Misri hukolilifungua [[Kairoukumbi|kumbi]] lilifungua ukumbi nne mpya kwenye Jumba la sanaa la Tutankhamun. <ref>[https://www.bbc.co.uk/news/entertainment-arts-30493177 BBC News: Egypt unveils renovated Tutankhamun gallery]</ref>
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{BD|1342 KK|1323 KK}}
[[Jamii:Watu wa Misri ya Kale]]
[[Jamii:Mafarao wa Misri ya Kale]]