Isis : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: 2017 source edit
taipo
Mstari 6:
Kama mungu wa uhai na uchawi, Isis aliwalinda wanawake na watoto, na kuwaponya wagonjwa. Alitazamiwa kama mama wa kimungu wa kila [[farao]] (mfalme).
 
Katika mitholojia ya Misri aliunganishwa hasa na [[Osiris]] (mume wake wa kimungu) na [[Horus]] (mwana wa Osiris na Isis). Ibada ya Isis iliendelea muda mrefu hadi kipindi cha utawala wa Kiroma, ikaenea harapia nje ya Misri katika Dola la Roma.
 
Alama zake zilikuwa [[ankh]], mabawa yake, na [[taji]] lilionyesha kiti cha kifalme.