Petro-Henri Dorie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''{{PAGENAME}}, [[M.E.P.]]''' (Saint-Hilaire-de-Talmont, [[Vendée]], [[Ufaransa]], [[23 Septemba]] [[1839]] - [[Sai-Nam-Hte]], [[7 Machi]] [[1866]]) ni mmojawapo katika [[kundi]] kubwa la [[Wakristo]] wa [[Kanisa Katoliki]] nchini [[Korea]] waliouawa kwa ajili ya [[imani]] yao katika miaka [[1791]]–[[1888]]. Wanakadiriwa kuwa 8,000 - 10,000.
 
[[Padri]] huyo [[mmisionari]] aliuawa pamoja na [[askofu]] [[Simeoni-Fransisko Berneux]] na [[mapadri]] wawili wa shirika lake: [[Yusto Ranfer]] na [[LudovikoAlois Beaulieu]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/92284</ref>.
 
Hao na [[wafiadini]] wenzao 99 walitangazwa na [[Papa Yohane Paulo II]] kuwa [[watakatifu]] [[tarehe]] [[6 Mei]] [[1984]].<ref>[http://www.kofc.org/en/columbia/detail/korea-church-martyrs.html Korea and the church of martyrs]</ref>