Ato Malinda : Tofauti kati ya masahihisho

Msanii wa Maonyesho kutoka kenya, alizaliwa mwaka 1981
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== Maisha ya awali == Alizaliwa Kenya mnamo 1981, akiwa mtoto wa mama kutoka Kenya na baba kutoka Uganda.Alikulia Uholanza na baadae alirejea Kenya. Baada ya Sh...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:14, 6 Machi 2021

Maisha ya awali

Alizaliwa Kenya mnamo 1981, akiwa mtoto wa mama kutoka Kenya na baba kutoka Uganda.Alikulia Uholanza na baadae alirejea Kenya. Baada ya Shule ya upili (sekondari) alenda Marekani kusomea historia ya sanaa na na biolojia ya molekuli katika chuo kikuu cha Texas. Alikua na ukuaji mgumu udogoni kwa kushindwa kutimiza matamanio ya baba yake ya kuwa daktari, pamoja na kukabiliana na aibu ya kua msagaji katika jamii yake. Mnamo 2006, baada ya kuhamia Uingereza kwa muda, alipata tena hamasa ya kuendelea na sanaa.[1] Ato Malinda awali alifahamika kama Alex Mawimbi. Jina hili lilikuja kusimama zaidi kama kumbukumbu ya baba yake mdhalilishaji na familia. Baada ya kifo cha cha M Mama mkwe wake, aliamua kutotumia tena jina hilo. Alex kwa upande wa pili ni jina zuri linaloelezea mawimbi kwa kiswahili- Ishara ya Bahari ya Hindi inayokapakana na Kenya, Nchi iliyopo katika kitambulisho chake.[2] Hurejea Kenya mara kwa mara ambapo anafanya kazi katika tasnia mbali mbalj za sanaa : s Sanaa ya video, sanaa ya maonyesho, uchoraji na kupaka rangi. Ato ni miongoni mwa wasanii wachache wa maonyesho Afrika Mashariki na anapambana ili sanaa hii ipate kukubalika.

Marejeo

  1. Radar, Art. "Ato Malinda on sexuality, African feminism and performance as art – interview | Art Radar" (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2020-08-20. 
  2. Bouwhuis, Jelle (2019-02-02). "Alex Mawimbi". AFRICANAH.ORG (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-08-20.