Zuchu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Zuchu hadi Zuhura Kopa
No edit summary
Mstari 9:
<ref>{{cite web |title=ZUCHU – Biography – Age, Family, Early life, Record Label, Music, Net Worth |url=https://daily4mative.com/zuchu-biography-age-family-early-life-music-net-worth/ |website=Daily4mative |access-date=28 June 2020}}</ref>
Zuchu alitambulika rasmi kwenye Tasnia ya muziki mnamo Aprili 2020 .
<ref>{{cite web |title=Why WCB’s new signee Zuchu is a force to reckon with as she unveils her EP ‘I am Zuchu’ |url=https://www.pulselive.co.ke/entertainment/why-wcbs-new-signee-zuchu-is-a-force-to-reckon-with-as-she-unveils-her-ep-i-am-zuchu/k2tt5v9 |website=Pulselive |access-date=10 June 2020}}</ref> Na Mpaka sasa ana albamu moja na alichaguliwa kushiriki mashindano ya kuwania tuzo ya MTV, MAMA awards ya mwaka 2021. kwenye mashindano hayo, Zuchu amepangwa katika kipengele cha 'best breakthrough act', anakabiliwa na ushindani kutoka kwa Elaine na Focalistic wa Afrika Kusini na Tems na Omah Lay wote kutoka Nigeria, John Blaq (Uganda) na Sha Sha (Zimbabwe).<ref>https://habarileo.co.tz/habari/2020-12-115fd396650321b.aspx</ref>
 
=== Albamu ===
Zuchu aliachia albamu ya kwanza iliyotambulika kama “ I am Zuchu “ mwaka 2020 ikiwa na nyimbo 7.
<ref>{{Cite web|url=https://www.deezer.com/us/album/142790582|title=Zuchu: I Am Zuchu|website=deezer.com}}</ref>
Albamu yake ndiyo iliyosikilizwa na watu wengi zaidi nchini Tanzania kwa mwaka 2020 na video za nyimbo zake zimetazamwa na mamilioni ya watu.<ref>https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/entertainment/zuchu-named-on-bbc-s-10-african-musicians-to-look-out-for-in-2021-3245486</ref>
 
=== Nyimbo zake ===