Varsha Nair : Tofauti kati ya masahihisho

Msanii wa India
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Varsha Nair''' (Alizaliwa 1957) ni is msanii wa Kihindi aliyezaliwa Kampala, Uganda.<ref>{{Cite web|url=http://www.varshanair.studio/about|title=Var...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:33, 6 Machi 2021

Varsha Nair (Alizaliwa 1957) ni is msanii wa Kihindi aliyezaliwa Kampala, Uganda.[1] Ni maarufu kwa hisia za kuhama.[2] Alipata mafunzo kutoka chuo chuo kikuu cha Baroda na kuhamia Bangkok mwaka 1995 baada ya kuhamia Uingereza akitoka India na kurudi.Saikolojia ya hisia za kuhama iliyotengenezwa wakati wake wa kuhama hamana zimewekwa katika kazi zake. Ideas about "home" and "belonging"[3] kazi hizi zimeelezewa kishahiri katika kwa aina yake kama mahusiana na nafasi huishi.[3] Alikua sehemu ya kikundi mkakati cha kwanza kilichotengeneza Womanifesto, jukwaa la kuonyesha wasanii wa kimataifa nchini Thailand.[4]

Ameonyesha pia katika katika makumbusho mbalimbali na vinchanja kikiwemo Kichanja cha Guild cha sanaa cha Mumbai[2] and Tate Modern.[5]

Marejeo

  1. "Varsha Nair - About". Varsha Nair (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-30. 
  2. 2.0 2.1 "Nair, Varsha | Artist Profile with Bio". www.mutualart.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-30. 
  3. 3.0 3.1 Archive, Asia Art. "Interview with Varsha Nair". aaa.org.hk (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-30. 
  4. Asia through art and anthropology : cultural translation across borders. Nakamura, Fuyubi, 1974-, Perkins, Morgan,, Krischer, Olivier,, Morphy, Howard,, 中村, 冬日, 1974-. London. 5 December 2013. ISBN 978-0857854483. OCLC 862112488.  Check date values in: |date= (help)
  5. "ArtAsiaPacific: Still Moving Image". artasiapacific.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-03-30.