Steve Wembi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing Photo_Steve_Wembi.jpg, it has been deleted from Commons by Taivo because: Copyright violation; see c:Commons:Licensing (F1): source – Facebook.
Removing Joseph_Kabile_and_Steve_Wembi.jpg, it has been deleted from Commons by Racconish because: Copyright violation; see Commons:Licensing (F1).
Mstari 26:
 
=== Kazi ya media ===
 
[[Picha:Joseph_Kabile_and_Steve_Wembi.jpg|left|thumb|235x235px| [[Raisi]] wa zamani wa Kongo [[Joseph Kabila]] anachukua selfi na Steve Wembi]]
Steve Wembi alianza, akiwa [[Chuo Kikuu cha Kinshasa]], kazi yake ya [[uandishi wa habari]] kama [[mwandishi]] wa [[Xinhua]] katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] mnamo 2007 huko [[Kinshasa]] ambapo alifanya kazi kwa media hii ya [[Jamhuri ya Watu wa China|Wachina]] kwa miaka kumi.<ref name="R10">[http://www.afriqueinvisu.org/congo-in-conversation.html "Congo in conversation"], ''Afrique Invisu'', 14 décembre 2020 (Consulté le 21 décembre 2020).</ref> Amefanya kazi kama mtayarishaji kweye [[televisheni]] na [[Tovuti|wavuti]] ya [[Al Jazeera]],<ref name="R6">[https://www.aljazeera.com/features/2016/8/29/beni-drc-they-hacked-him-and-threw-him-in-a-pigsty "Beni, DRC: ‘They hacked him and threw him in a pigsty’"], [[Al Jazeera]], 29 aout 2016 (Consulté le 21 décembre 2020).</ref> [[CNN]]; na kama mwandishi wa shirika la habari la [[Umoja wa Mataifa]] [[Jumuishi mitandao ya habari ya mkoa|Mtandao wa Habari za Kieneo]] (''IRIN''), jarida la ''[[Mchumi|The Economist]],'' [[Financial Times]], televisheni ya NRK ya [[Norwei]] na Jarida la ''The Wall Street Journal''.