Familia (biolojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho na viungo
Mstari 1:
[[Picha:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi.]]
'''Familia''' ni ngazi katika [[uainishaji wa kisayansi]] wa [[viumbehai]]. Familia ya [[mnyama|wanyama]] au [[mmea|mimea]] hujumlisha [[spishi]] mbalimbali zilizo karibu.
 
Kwa mfano [[paka-kaya]] ni spishi mojawapo pamoja na spishi 41 nyingine ndani ya familia ya [[Felidae]] inayojumlisha paka pamoja na [[chui]], [[simba]], [[tiger]] n.k.
 
Ndani ya familia kuna [[jenasi]] mbalimbali (zinazojumlisha spishi za karibu zaidi); kila familia ni sehemu ya ngazi ya juu zaidi inayoitwa [[oda]]. Familia ya Felidae (wanyama wanaofana na [[paka]]) ni sehemu ya oda ya [[Carnivora]] yaani wanyama [[walanyama]].
 
Kwa kawaida [[Jina|majina]] ya [[Sayansi|kisayansi]] ya kila familia huishia kwa
 
- "idae" kama ni familia ya wanyama au
- "aceae" kama ni failiafamilia ya mimea.
 
Familia kubwa sana zinaweza kugawiwa katika [[nusufamilia]]; vilevile oda kubwa sana inaweza kuwa na [[familia kubwaya juu|familia za juu]] za kujumlisha ngazi ya familia.
 
[[Jamii:Uainishaji]]